nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Nani pisi kali kati ya Uwoya na Aggy baby?

  2. B

    JamiiForums Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy.. Huyu mtu anachezea kijiwe kipi? Maana anaetumia id ya mkulima Kwenye playok nasikia sio mangwelele
  3. JamiiForums Ukishamzalisha umuoe. Sasa mnawazalisha ili waolewe na nani?

    In short case za single mothers zimekuwa too much wanaforce tuwaoe siye ambao hatujawazalisha aliyakuwa wanaume zao waliowapa Mimba wapo. Nyie vijana hakikisheni mnawaoa single mothers wenu ili mbalance Mambo. Huku mtaani single Mama wanazalilishwa vibaya sana. Ni hayo tu Pasaka Njema. Mfano...
  4. JamiiForums Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  5. M

    JamiiForums Kama mwana Yanga SC kindakindaki Dismas Ten kaikubali Simba SC Wewe ni nani uikatae?

    "Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga...
  6. JamiiForums Nani ameleta wazo la kununua nguzo za umeme nje ya nchi? Ni January Makamba?

    Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ... Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
  7. JamiiForums FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  8. JamiiForums Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

    Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo. Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri. Wakuu wa wilaya na...
  9. JamiiForums Hawa, Eva, Eve ni nani?

    "NANI ATASIMULIA HADITHI YA SHETANI BAADA YA KUSIKIA UPANDE WA MUNGU?" MIMI NIPO TAYARI KUSIMULIA, NITAANZA NA HAWA (EVA,EVE), NYOKA (The Divine Serpent) NA KUMALIZIA DHAMBI YA ASILI (Original Sin) SEHEMU YA KWANZA: Kwa takriban miaka 1,400 hadi 2,500, mamilioni ya Wakristo, Wayahudi na...
  10. JamiiForums Hatari kwa Nani na Kwanini Iitwe Hatari?

    Picha inajieleza, wahpliotengeneza hii watuambie Ni hatari kwa nani Kwanini iitwe hatari?
  11. B

    JamiiForums Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  12. JamiiForums Mtoto pendwa wa awamu ya sita ni nani?

    Wakuu Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa, Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu enzi za muswada wa cyber crime. Je huyu ndiye mwana mpendwa wa awamu hii au kuna mwingine?
  13. JamiiForums Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  14. JamiiForums Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc: johnthebaptist
  15. B

    JamiiForums Robo fainali ya drafti Iliofanyika juzi kati ya Cisco, dogo athumani na Yasini nani aliibuka bingwa?

    Kuna mtu alileta uzi humu wiki moja iliopita kuwa laki 2 inagombewa Pale manyanya, nani aliibuka mshindi kati ya Walioingia robo fainali Ya drafti (Cisco, athumani na Yasini?) Mwenye habari atujuze Darius RR ilala yetu
  16. JamiiForums Kauliza muulizaji nani Sheikh Yusuf Badi?

    KAULIZA MUULIZAJI NANI SHEIKH BADI? Sheikh Muhammad Yusuf Badi alikuwa sheikh maarufu Lindi na sehemu yote ya Jimbo la Kusini, yaani Southern Province. TANU iliasisiwa Lindi mwaka wa 1955 tayari Nyerere kesharudi UNO safari ya kwanza na alifika Lindi kutia nguvu TANU. Kisa kirefu. Tuingie kwa...
  17. O

    JamiiForums Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

    Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi. Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa...
  18. JamiiForums Nani anayejua kuhusu hili la kutengeneza Wireless Earphone?

    Za mchana wana tech, Jamani wanajf me ni m1 wa watu ambao hupenda kudadisi sana vitu sasa katika pitapita zangu youtube nikaona video za kutengeneza wireless earphone mwenyewe kwa kutumia kale kataa ka remote(remote sensor) na earphone ya zamani. Sasa naomba kujua kama itafanya kazi, kwa...
  19. K

    JamiiForums Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  20. JamiiForums Hawa SME ni akina nani?

    Wana bodi, heshima kwenu. Hawa SME ni akina nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…