nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kati ya Mbappe na Haaland nani atakuwa wa kwanza kubeba Ballon d'Or?

    Haaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe. Wewe mtazamo wako upoje?
  2. JamiiForums Jionee mwenyewe Yanga na Al hilal nani zaidi? Group stage caf confederation cup 2018

    Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha wachambuzi wa kibongo
  3. JamiiForums Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa. Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au hierarchy of presidency) kwa JMT. Mataifa ya wenzetu kama US wao kutokana na muvi zao na kuwa wawazi...
  4. JamiiForums Hivi huko CCM nani ni mwanasiasa Bora?

    Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka waliyonayo na wala siyo ubora binafsi. Kwa sasa ndani ya CCM nani anaweza kusemwa kwamba yeye...
  5. JamiiForums Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  6. JamiiForums Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

  7. JamiiForums Nani kakosekana kwenye kikosi hiki?

    Taja mchezaji anayepaswa kuongezwa kwenye kikosi hiki. Mimi naamini kabisa Mario Balotelli ana nafasi yake hapo.
  8. JamiiForums Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  9. B

    JamiiForums Nani anamwelewa Naibu Spika Zungu? Ufafanuzi tafadhali

    Kwa heshima na taadhima ninalazimika kuuliza: Ni miye peke yangu nisiyemwelewa huyu ndugu ambaye anafahamika kama mwasisi kindaki ndaki wa tozo? "Gateway ya internet kuwa nje maana yake nini?" Nani aliipeleka huko? Inarudishwa vipi hiyo nchini? Au kwa nini anaumia mno makqmpuni ya simu...
  10. JamiiForums Safari za Kikwete hugharamiwa na nani?!

    Hizo safari za kila uchwao za Kikwete toka alipo staafu u Rais hugharamiwa na nani?
  11. JamiiForums Ni nani aliyefanya research iliyoleta maamuzi kuwa mtoto anakuwa mtu mzima akiwa na miaka 18?

    Hili swali najiuliza sana...? Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18. Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati...
  12. JamiiForums Wabunge mliopiga Makofi na Watendaji wa Spika nani Kawadanganya kuwa Mgeni Manara ni Msemaji wa Yanga SC?

    Nilikuwa nakataa kuwa Bunge la sasa limejaa Wabunge dhaifu (ukiwaondoa tu wale wasio Mashabiki wa Yanga SC) ila kwa Upuuzi (Udhaifu) uliotokea leo Bungeni nimekubali na Mimi sasa naanza Kuwadharau. Spika tafadhali ajiri Watu makini hapo Ofisini Kwako na hapo Bungeni ndani ili wasije Kujiaibisha...
  13. JamiiForums Huyu mtu ni nani hasa katika siasa za Tanzania?

    Huyu mtu mbona Mamlaka za nchi hii zinazo heshima kubwa kwake? Yupo bungeni leo lakini unaweza kuona mara zote hukaa kwenye viti vya watu mashuhuli kabisa! Ni nani huyu mtu kwenye siasa za Tanzania?! Ana nguvu gani mtu huyu kwenye siasa zetu hapa Tanzania?!
  14. T

    JamiiForums Nani atufumbue kuhusu hawa wahindi na waarabu juu ya wanachokifanya huku mitaani

    Nilitoka Morogoro mwaka huu mwanzoni mwezi wa 4 Kuja Moshi mjini kutokana na masuala ya kifamilia, Nifupishe mada kilichonistajabisha ni kwamba kila ipokua inafika jioni majira ya saa kumi na nusu muda wa Azana, niliona kundi kubwa la watoto na watu wazima wachache wakiongozana kuelekea katika...
  15. JamiiForums Zitto Kabwe yupo Lyv Ukraine anafanya nini huko wakati kuna vita? Nani anadhamini safari yake?

    Huyu kiongozi wa ACT Wazalendo mbona hasomeki?
  16. JamiiForums ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

    Nawasalimu kwa jina la JTM, Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini, Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM...
  17. JamiiForums Ni nani waliuza gesi yetu ya Mtwara?!

    Vipo vitu Nchi hii ukivifikiria hakika unaona wazi vinaaksi ujinga wetu na kwayo ndiposa Viongozi wetu huwa wanautumia uzwazwa wetu kutupiga. Mfano hilo la gesi ya Mtwara, kwa mjibu wa Hayati Rais Magufuli Tanzania haina chake kwenye gesi yetu wenyewe na alitueleza bayana wajanja walishatupiga...
  18. N

    JamiiForums Miradi ya majengo iliyotelekezwa na mashirika kama NHC ni hasara ya nani?

    Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC. Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike kuanzisha miradi ambayo haifiki mwisho ili kuleta tija na wala hakuna mtu yoyote anayewajibika kwa...
  19. JamiiForums Ni nani anatakiwa kuwa na VFD/EFD?

    Karibu sana, kwanza kabisa Utaratibu wa kutumia Mashine za VFD/EFD ulianzishwa kwa lengo la kumrahisishia mfanyabiashara katika utunzaji wa kumbukumbu za mauzo/biashara za kila siku ili kuondoa usumbufu wakati wa ukadiriaji wa kodi (usikadiliwe kodi kubwa kuliko biashara yako au usikadiliwe...
  20. A

    JamiiForums SoC02 Mimi ni nani

    MIMI ni NANI Ni asubuhi niliyokua naisubiria kwa hamu sana na mwili wangu hauwezi kuvumilia kuonyesha shauku niliyokuwa nayo. Nahisi kama moyo wangu unadunda kwa kasi sana huku viganja vya mikono yangu vikitetemeka kwa furaha. Nashindwa kujizuia “Baba tunaondoka saa ngapi” niliuliza kwa kukosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…