nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upangaji wa Makao Makuu Dodoma. Nani aliamuru Ikulu izungukwe na Makazi ya Watu?

    Watanzania kama sio kukosa exposure basi ujinga unatutesa sana na kuna siku utakuja kutugharimu sana Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma nimeangalia namna ya Jiji la Dodoma lilivyopangwa na kusema kweli nimesikitika sana. Hii nchi kuna siku yatatukuta ya Haiti wahuni wanaingia kwenye makazi ya Rais...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawatetea wafanyakazi sekta binafsi ukizingatia Rais wa nchi hii ni moja?

    Km mtakavyokumbuka tarehe moja mwezi huu wa 5 ilikuwa sikukuu ya wafanyakazi duniani yaani mei mosi. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye aliyekuwa mgeni rasmi. Wakati wa hutba zake aliwaahidi wafanyakazi wa sekta ya umma mambo mengi mazuri ikiwamo annual increment yaani nyongeza za...
  3. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu chawa yeye alimkabidhi nani akili?

    Kuna wakati aliwaambia mashabiki wa Yanga kwamba kati ya wingi wao wenye akili ni wawili tu. Baba yake na Rais Kikwete. Muulizeni baada ya kuhamia Yanga yeye akili zake alimkabidhi nani
  6. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Fedha za Bunge huchunguzwa na Nani?

    Ikiwa CAG huchunguza matumizi Kwa taasisi za Serikali Kuu na Serikali za mitaa (halmashauri) kisha huleta ripoti bungeni. Je huchunguza matumizi katika Bunge letu tukufu? Hawa waheshimiwa wanafaidi keki ya Taifa ipasavyo Kwa njia zifuatazo (ukiacha mishahara minono). 1. Posho Nono za kamati za...
  7. JamiiForums Tanzania SWALI: "Ni akina nani" watakuwa na ujasiri wa kununua mali za Musiba hali wakijua mali hizo zilikopatikana na namna zilivyo patikana?

    Tuliangalie jambo hili kwa namna nyingine Unaweza kudhani itakuwa rahisi watu kujazana mnadani na kununua hizo mali lakini kiuhalisia unaweza shangazwa asipatikane mnunuzi kwa hofu kwamba mali hizo zilipatikana kwa namna isiyo elezeka na kuna uwezekano walio mwezesha kupata mali hizo ndio wanao...
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  10. JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

    Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni. Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
  11. JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa neno 'mbususu' humu JF?

    Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi. Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa mara ya kwanza nimeliona humu, na kuna ile mtu akiposti uongo watu wanasema "Chai", nani...
  12. JamiiForums Tanzania Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

    Kama mjuavyo, kazi ya moyo si kusukuma damu tu. Kazi nyingine kubwa ya moyo ni kupenda, na kila mtu anapenda kupendwa. Na humu ndani kuna watu wana hisia na mtu fulani (ID), ila wanashindwa kuongea. Kwa kutumia uzi huu, funguka ili naye ajue. Inawezekana na yeye ana hisia na wewe ila...
  13. JamiiForums Tanzania Mhando wawili katika historia ya TANU: Steven na Peter Mhando nani kapata kuwasikia wakitajwa popote?

    KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa utafiti. TANU ilikuwa na ndugu wote wanachama, TANU ilikuwa na marafiki wote wanaTANU na kadhalika na...
  14. JamiiForums Tanzania Nani humnyoa kinyozi?

    Kipo kijiji ambacho sheria kuu pale ni kuwa kinyozi hunyoa ndevu za wanaume wote ambao hawajinyoi ndevu zao wenyewe tu/=. Mwanaume yeyote anayejinyoa mwenyewe yule kinyozi hapaswi kumnyoa. Sasa swali ni, nani hunyoa ndevu za kinyozi? Kama kinyozi anajinyoa ndevu zake mwenyewe, basi hawezi...
  15. JamiiForums Tanzania Na mme wenu kapigwa,Sasa kesi mtakuwa mnaenda kushtak kwa Nani?

    Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!! Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
  16. JamiiForums Tanzania Je, huyu mtoto wa kiume nani anamsaidia au kumshika mkono?

    Kwani hatuna vijana wa kiume walioacha masomo kwa kusababishiwa na wazazi au walezi wao hata wakajikuta wamepotea mtaani? Katika miji na majiji vijana wa kiume wanafanya kazi ya kukata nyasi za mifugo, kuuza kahawa kwenye mabirika, kusafisha vioo vya magari na wengine wapo kwa ajili ya kufanya...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiisoma hii hadithi unamuela Rais Samia kwanini alisema Stupid ila mpaka leo hatujui stupid ni nani

    “If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers: “Well, I...
  18. JamiiForums Tanzania Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

    Hizi ni baadhi ya picha (optical illusion) zilizoenda viral sana. Unaweza ukafafanua utata wake?
  19. JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  20. JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…