nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Tafakuri Jadidi: Wazee Wa Dar Es Salaam Ni Akina Nani? - Je, Sifa Za Mzee wa Dar es Salaam Ni Zipi? Jibu: Ndugu zangu, Kuna wakati Rais wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, alipata kuongea na Wazee wa Dar es Salaam. Kwenye juzuu ya kwanza kati ya tatu ya kitabu ' The Making Of A Philosopher...
  3. JamiiForums Tanzania Mkude anaenda kumuweka nani benchi katika kikosi cha yanga?

    Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba. Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba. Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
  4. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaoukubali mkataba wa makubaliano na wanaoupinga nani wana haki?

    Ni aibu kuwa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60, hatuna uwezo hata wa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi. Najua inauma. Hivi karibuni kumekuwa na mgawanyiko mkali baina ya watawala walioamua kubinafsisha/kuuza bandari zetu kama ni kweli na wale wanaopinga wakiwatuhumu ufisadi na kutojali mali...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba kwasasa haieleweki huu Mungano wa Tanganyika na Zanzibari ni kwa faida ya nani

    Je ni kwa faida ya wazanzibari maana they are offering lesser if any than what they're gaining . Kumbuka hawa jamaa wana inchi yao, wizara zote, board yao mokopo chuo kikuu, rais wao, wana kila kitu kama serikali. It is very likely kwenye huu Mungano zanzibari wamechangia jina tu "zanzibari "...
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo. Ni nani huyu?

    Litania ya ushindi
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

    Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea. Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

    Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane. Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa...
  10. JamiiForums Tanzania Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  11. JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  12. JamiiForums Tanzania Nani alilipia gharama za Dkt. Slaa na Lipumba kuponda maraha Kigali mara baada ya kuisaliti UKAWA mwaka 2015?

    Mwaka 2015, uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na Rwanda factor. Dk. Slaa na Lipumba, mara baada ya kuisaliti UKAWA, walipelekwa kwa ndege ya kukodi mpaka Kigali, wakawekwa kwenye hoteli ya kifahari sana na ulinzi mkali wakipewa Kila wanachotaka. Walikula maisha sana, baadae, Kila mmoja akapewa...
  13. JamiiForums Tanzania Unabii(uprophet) na uaskofu makanisa mapya unatolewa na nani?

    Kuna utitiri wa manabii na maaskofu wapya kila kukicha, wapata vipi hiyo hadhi? Na uzuri wana waumini wengi wanaoamini kisawasawa hasa mama zetu.
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  15. JamiiForums Tanzania Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

    Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Organized Crime(?): Nani wapo nyuma ya Ramla Said Ahmed?

    Huyu ni Mmiliki wa Sharjah Trading (nitaeleza kwa undani kuhusu hii kampuni). Miaka michache iliyopita wakati wa utawala wa Magufuli alikamatwa, akafunguliwa kesi ya utakatishaji fedha akafanya plea bargaining, ikakubaliwa - akalipa faini na kuachiwa. Ramla alikamatwa juma lililopita, siku ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji mkataba na DP world kwa manufaa ya nani?

    Nguvu nyingi inatumika bIla shaka kupotosha kuhusiana na mkataba huu. Kwamba tuna aina hIzi za watu mezani: Ni dhahiri bin shahiri kuwa, kuna wanufaika hapa na bila shaka si wananchi.
  18. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  20. JamiiForums Tanzania Putin alia lia kuhusu gharama aliyoingia ili kuwakimu Wagner, nani kamtuma

    Kuna wakati Urusi iliwahi kukana uwepo wa kikundi hiki cha Wagner, ila imejikuta ikiwakubali na Putin kukiri hadharani hela alizotumia kukidhi mahitaji yao, hela ndefu sana hadi inamuuma, $1b sio mchezo aisei, mwenyewe kawalea na nusra wamle kichwa, ndivyo huwa kwa watu wanaolea viumbe vya ajabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…