namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Magufuli Kuna namna alimvumilia sana.

    Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe . NB:madarka yalivyo matamu huwezi niambia na kuni shawishi nikaelewa wafilipi de la planer na...
  2. JAMAA ALIEIBAA SIMU DUKANI KWA SURARAIYA , ASHAIRUDISHA, HAKUA NA NAMNA, CCTV MCHAWI

    Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu mwamba, akasepa walipo Rudi shop hawaoni simu, kupitia camera wakamuonea mdau ila hawamtambui...
  3. Nikikumbuka kashfa yake ya 2005 naona ni ngumu sana kumtetea Lema, hakuna namna afukuzwe tu CHADEMA

    Kwa mliokuwepo Arusha mwaka 2010 mtakumbuka siku ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa ubunge hali ilivyokuwa pale nje ya manispaa. Kulikuwa na umati mkubwa wa watu ukishinikiza Lema atangazwe kama mshindi wa kiti cha ubunge haraka sana wakihofia Lema kupokea mlungula toka kwa wapinzani wake. Nje...
  4. NIIWEKEZE KATIKA NAMNA GANI IONGEZEKE HII PESA?

    Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea...
  5. Namna CHADEMA walivyopika Bomu lisiloonekana

    1. Elimu Elimisha kizazi kimoja kwa zaidi ya miaka 10, uone jamii hiyo itakavyoathirika. Elimu hiyo iathiri tabia zao, dini, utamaduni na vyombo vya habari hadi kugeuza uelekeo wao na mtindo wa kufikiri kwa kukumbatia minyororo na kujilaza mbele ya kiti cha mkoloni. Kuelimisha ni kuvunja...
  6. W

    Msaada namna ya ku unlock Airtel Mifi iweze kukubali line zingine

    Habari za Jumapili wakuu, naomba msaada namna ya ku unlock Mifi yangu ya Airtel, nimehamia eneo ambalo mtandao wa Airtel ni kipengele
  7. Namna neno la Mungu kutoka kwenye Biblia linavyoweza kukupa MAARIFA kwenye maisha yako

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬 𝑴𝑨𝑰𝑺𝑯𝑨, 𝑴𝑩𝑰𝑵𝑼 𝒁𝑨 𝑲𝑰𝑭𝑰𝑲𝑹𝑨 (𝑴𝑨𝑨𝑹𝑰𝑭𝑨) 𝑵𝑨 𝑴𝑰𝑼𝑱𝑰𝒁𝑨 𝙒𝙖𝙚𝙗𝙧𝙖𝙣𝙞𝙖 4:12 𝑀𝑎𝑎𝑛𝑎 𝑁𝑒𝑛𝑜 𝑙𝑎 𝑀𝑢𝑛𝑔𝑢 𝑙𝑖 ℎ𝑎𝑖, 𝑡𝑒𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑛𝑎 𝑛𝑔𝑢𝑣𝑢...
  8. Namna wenzetu wanavyowaandaa watoto wao kuja kuwa wasimamizi wa biashara zao

    Huyukushoto ni mtoto wa Mohamed Dewji,anaitwa ABBAS ndiye mrithi wa mali zote za ukoo na msimamizi (ameshateuliwa),sasa hivi anazunguka nae katika kila sula la biashara na anaingia naye kwenye vikao vya bodi ya wakurugenzi ya METL. Huyu katikati ni WAMKELE MENE , Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya...
  9. Mtu hajakuomba ushauri, wewe unamshauri, halafu hujui namna ya kushauri, nyambafu!

    Mara ooh! Hili shati siyo zuri, nyambafu! Kama kwako siyo zuri kwangu ni zuri. Mwingine ooh! Usipige nyeto maana siyo tamu! Kama kwako siyo tamu funga bakuli! Ukumanyoko wala si dili! 😎
  10. K

    Kwa namna Mnyika anavyocharaza vingwendu mahakama leo tarehe 01.09.2026 Je apewe PHD?

    Wadau kichwa cha habari chajieleza hivyo naomba majibu yenu.
  11. Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

    Happy New Month, Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi...
  12. A

    Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  13. Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  14. Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha

    Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada. Wengine wana...
  15. Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

    Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji Namna ya kupata utajiri kwenye biashara Namna ya kupata wateja Namna ya kulinda biashara kikawaida...
  16. J

    Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani

    Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani? Hebu tusome Yakobo 5: 17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
  17. M

    Namna ya Kumshukuru Mungu

    Nini maana ya Shukrani? Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na sadaka Mambo ya msingi katika kumshukuru Mungu Jambo la kwanza Moyo wa shukrani Moyo wa shukrani ni...
  18. Hivi hakuna namna yoyote ya kumuondoa huyo mtu kwenye throne.

    Nauliza TU. Yani na yeye siku aamke asubuhi ajikute hana cheo chochote kile. britanicca
  19. Responded HOJA TANESCO mtuelimishe hapa namna JNHP inavyoweza kutatua changamoto ya kukatika umeme

    Hongereni sana TANESCO, tumeshuhudia kukamilika kwa mradi huu mkubwa na hakika mtambo umewashwa leo, mmetuambia tayari mmeunganisha na gridi ya Taifa. Nina dukuduku hapa Gridi ya Taifa ni moja, kwa nini kusiwe na gridi za Taifa ambazo zinapokea umeme huo na kutumika kama backup iwapo moja...
  20. O

    Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…