namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, Namna Tunavyooga Inaweza Kuongeza Hatari ya Kiharusi? Haya Ndiyo Unayopaswa Kufahamu

    Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani. Kwa mujibu wa taarifa: Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
  2. C

    je, ufaham namna sahihi ya kuzima gesi inaposhika moto?

    Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali. Je, unajua namna salama ya kuzima moto unaosababishwa na gesi ya kupikia wakati wa dharura?
  3. Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

    Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga) Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga? Je, kuna supplement ya kuotesha nywele? Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza...
  4. M

    Ungepokea comments za namna hii, ungejisikiaje?

    Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje? Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya...
  5. Namna ya kumtongoza mrembo wa jf

    Unamtumia ujumbe mzuri wa namna hii, ''Kodi yako ya nyumba inaisha lini?, baadaye baadaye uje uchukue basi hela ya matumizi.'' Hapo baharia utaitwa majina yote, sijui asali, sukari, mume, moyo, dia n.k Akifika tu, anakuachia uwanja ucheze wewe mwenyewe unavyoweza. Kazi kwenu, mabaharia.
  6. Kuna namna yoyote JPM anaweza kusamehewa na historia kwa kufuta upinzani wa kweli Tanzania?

    Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa. Hivi...
  7. Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  8. S

    Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  9. L

    Ninamchukia Sanaaa Hilda Newton Wa CHADEMA Kwa Namna anavyowachafua na kuwadhalilisha Viongozi Wetu kila Uchao. Kufanyike Mikakati ya Kumkamata.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Binti ni zahili na wazi kabisa alikosa Malezi ya Wazazi wake,Ni Wazi amezibuka kiakili, ni wazi amejikulia tu bila malezi ya aina yoyote ile, ni wazi ni Mwanamke fulani ambaye kichwani ana matatizo makubwa sana , ni wazi pengine hata wazazi na mama yake mzazi...
  10. F

    Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  11. O

    Unawezaje kuwa mchafu namna hii na kunywesha wenzio uchafu?

    Basi ,Kuna jamaa mmoja alikuwa ameweka banda lake la kuuza Kahawa na Tangawizi nje ya nyumba niliyokiwa nimepamga. Basi nikawa mmoja wa wateja wake maana nilikuwa napenda draft hasa hakukuwa na mambo ya eosho media so alikuwa na tv isiyo na rangi tunacheki habari huku inalia chaa sometimes...
  12. Vyuo vikuu vyote jirekebisheni kuna namna mmepotoka kidogo.

    I salute you kinsmen. Kuna kasumba imekuwa kubwa taratibu sana, nahisi hali hii TCU ndio wameleta Sikuhizi wanafunzi wamekuwa wengi na ufaulu nao umeongezeka sana Maelfu wanamaliza form six kila mwaka na wote wanataka kwenda chuo. Sasa TCU kama baba wa vyuo vyote na mlezi Anaruhusu vipi...
  13. Namna ya kuoga kwa kutumia mzizima na chumvi ya mawe kujitakasa, kuondoa uchawi mwilini na husuda.

    Chumvi ya mawe kwa urahisi kabisa inapatikana kwenye maduka ya dawa za asili . Miongoni mwa faida kuu ya chumvi ya mawe ni kukuondolea uchawi uliopo mwilini mwako, husuda na kama kuna milango ya ridhiki ilifungwa basi ukitumia chumvi ya mawe itakusaidia sana kufungua kifungo. Cha kufanya...
  14. Kuna namna Vodacom speed yao ya internet umepungua ukilinganisha na YAS

    Wakuu mimi nilikua user wa vodacom taangu 2008 lakini hivi karibuni nilikua nikipata usumbufu wa internet kuwa slow nikawa nafanya trial leo nimejiunga na internet ya YAS naona iko faster nimeiwasha Vodacom kwa sababu ni line yangu basic na itakua kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu.
  15. M

    Ni ipi namna rahisi ya kulipia hizi AI apps online?

    Kuna baadhi ya apps humu mtandaoni pamoja na kwamba zinajitangaza kama ni free, la ajabu unapomaliza kuitumia na kuhitaji kui save au download wanakuletea mpango wa kulipia kwanza.Kinyume cha hapo kazi yote uliyoifanya unaipoteza.. Sasa ni njia zipi rahisi za kulipia maana nyingi ya hizo kama...
  16. M

    Kwa namna wannanchi wanavyopqmbana na vyombo vya dola, siku askari wakizidiwa itakuwaje?

    Wananchi wamekuwa na hasira na wamechoka. Wanapambana na askari wa vyombo vya dola. Siku raia wakiwawazidi nguvu askari itakuwaje? Huko Tabora naambiwa wananchi wametembea na Ak 47.
  17. Namna ya kutengeneza mtindi mzito na mtamu sana nyumbani kwako

    Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌 Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24...
  18. Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  19. Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

    It's all about survival.. Mwanamke haangalii upendo kutoka kwako tu, kama sisi tunavyo waona. Mwanamke cha kwanza anachoongea ni uwezekano wa provision, na safety. Ndo maana sijawahi kuona mwanamke anatamani mwanaume handsome ila kapuku. Mwanaume unaweza kwenda kijijini ukakutana na pisi kali...
  20. Magufuli Kuna namna alimvumilia sana.

    Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe . NB:madarka yalivyo matamu huwezi niambia na kuni shawishi nikaelewa wafilipi de la planer na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…