Nimeona huu mtindo wa ndugu Kiranga akiwa na mazoea ya kuuliza hili swali kila linapotajwa Jina la Mungu hapa JF, na swali lake ni lile lile miaka yote "thibitisha Mungu yupo"
Sasa swali tunamrudishia yeye, je akisikia, kuona, kusoma neno "Mungu" anapata tafsiri Gani katika uelewa wake, je...
Kwa wale wenzangu na mimi tuliopoteza kazi lakini tuna chochote kitu .
Tupite kwe wakuuu tuokote chochote kitu bila kuchoka
Utaratibu ndio huo hapo chini
Nikitoa nitarudi na mrejesho maaana ni week ya pili sasa napambana na mwajili wa mwisho afanye jambo
Wakati wengi wetu tunachukulia namba kama alama za kawaida za hesabu tu, kuna namba moja duniani ambayo imetengeneza hofu kubwa ya kisaikolojia, imeunda miiko katika majengo makubwa, na kuleta utata katika historia ya michezo na utawala wa dunia: Namba 13.
Hii sio namba ya kawaida. Ni namba...
Joto ni kali sasa kuliko tulivyozoea.
Athali za joto la jua kali mwilini:
1. mwili Kupoteza maji mengi kwa njia ya jasho: Hii ni mbaya kwasabu mafigo yatapitisha maji kidogo sana kuliko kawaida, hivyo kupata mkojo kidogo sana. hali hii inayaponza mafigo kuharibika kirahisi.
2. damu kuwa nzito...
Tunazaliwa bila hiari yetu.
Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti.
Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying..
Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa?
Maana we are living as if this life is our own and then...
Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu.
Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii.
Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
Bila Magufuli hata hapo mbezi kibaha ingebaki ndoto tu. sasa inajengwa kimara kuja ubungo aisee kila siku wanachimba hata.kinachochimbwa hakieleweki.
Ila Tanzania nyoko.sana wanawaza kunyonga wapinzani tu pumbavu kabisa. kwa barabara kama hii hata kama serikali ikawabana wapinzani ina haki...
Ila ukisema I'd fulani inatomb,,,,mna na I'd fulani vibe linaibuka kama lote😅😅
Kwamba mods mnafikiri humu hatutomba,,,,,n 😅
Sisi ndio wale wale acheni kukaza mafuvu😅
Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
Umeshawahi kusikia mzee au watoto wa mzee Fulani wanatoa lawama kuhusu Ujana wa Baba yao ulivyogharimu maisha yao?
Ndugu zangu sehemu ya ujana wetu Ina nafasi kubwa sana ya kuamua ni aina gani ya maisha utayaishi katika sehemu ya maisha yako ya uzee.
Usibiri mbaka uzee ukufike ndy uanze kujutia...
Ndugu zangu Watanzania,
Lema ameongea ukweli Mchungu sana siku ya leo kwa kuonyesha namna wanaharakati uchwara akina Mange Kimambi na akina Maria Sarungi wamekuwa wakifanya uchochezi kuchochea vurugu na machafuko hapa Nchini huku wao wakijificha huko waliko ambako wanalishwa kama Makinda ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Napata Raha na Furaha kubwa sana Napomuona Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania katika Hali hii ya Ushupavu ukakamavu uimara Uhodari tabasamu na morali na Ari ya kazi .
Mama Yetu Mpendwa yupo Imara kimwili na kiakili . Yupo Tayari kuendelea na...
# Kwa namna ilivyo sasa, ni wakati muafaka wa serikali yetu sikivu ya CCM kulifungia kanisa Katoliki kwa kukiuka misingi ya kiroho nchini Tanzania
## Je, taasisi ya kiroho inapovuka mipaka yake, nani anapaswa kuwajibika?
Dini ni nguzo muhimu katika kujenga maadili, kuimarisha amani na...
Siamini katika mambo ya laana.
Ila, kama kweli laana ipo, basi hawa wauaji wa CCM watakuwa wamelaanika kutokana na mauaji waliyoyafanya na sasa hata akili ndogo tu hawana kabisa.
Eti huko yaliko yanajadiliana namna ya kuwakumbuka watu waliowaua Oktoba 29!
The irony!!
Soni hayana. Akili...
Huu ni mchanganyiko mwepesi hata wewe unaweza ukafanya na ukaona mabadiriko.
Chukua karafuu, mchele kidogo punje kadhaa changanya na sarafu ya 500 ili uweze kuongeza mvuto wa kibiashara, kuongeza thamani yako na kuongeza kioato chako.
Njia ya kwanza, chukua karafuu , changanya na mchele...
Kuna taarifa inasema kuwa kuanza kuoga kwa kujimwagia maji kichwani kunaweza kuongeza hatari ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa hiyo inaeleza kuwa watu wanapaswa kuanza kuoga kwa kulowesha miguu, kisha mwili na kumalizia kichwani.
Kwa mujibu wa taarifa:
Kiharusi kinaweza kutokea pale damu...
Matumizi ya gesi ya kupikia yameongezeka katika jamii. Hata hivyo, ni muhimu kuwa na uelewa sahihi wa hatua za kuchukua pale moto unapotokea ili kuzuia madhara na kulinda maisha pamoja na mali.
Je, unajua namna salama ya kuzima moto unaosababishwa na gesi ya kupikia wakati wa dharura?
Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza...
Ukipokea comments za namna hii, ungejisikiaje?
Watu wengi hutumia komenti kama sehemu ya utani lakini je, ni wakati gani utani hugeuka kuwa ukatili mtandaoni? Ni pale kauli yoyote inapogeuka kuwa ya kuumiza, kutweza hisia au utu wa mtu, kuwa makini unapoweka komenti usije kuwa unafanya...