nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  2. Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

    Nafasi ya kazi Hardware, tuma maombi yako kupitia whatsap. Deadline 30/9/2026
  3. Toyota Vitz Vs Toyota Starlet-Ipi ina Nafasi Kubwa

    1. Ipi ina nafasi kubwa? 2. Ipi imara kwa masafa marefu yaani kupiga ruti hata za mkoani mara moja moja
  4. Wapenda Kunukia .. nipen nafasi niwasanue vitu vizuri

    Najua huku kuna watu wengi, wanapenda kunukia vizuri.. Sasa hapa tutofautishe brand names na manukato mazuri ya bei ya kiTanzania.. Kama unataka brand kubwa kubwa wewe inbox unapata mzigo wako saafi kamili.. Lakini wale ndugu zangu mnaopenda uturi kama mimi Njpe jina nikupe bei.. nauza Namba...
  5. T

    Naomba kuuliza hivi zile nafasi za JWTZ watu washaanza kuitwa ??

    Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
  6. R

    Seneta Edwin Sifuna: Haiwezekani tumpatie Rais William Ruto nafasi arudi kwenye hiyo kiti

    Speaking during the funeral of Ann Nyatoro Ndung’u, the mother of the East African Legislative Assembly (EALA) Member of Parliament, Nairobi Senator Edwin Sifuna and the Linda Mwananchi lead, delivered a direct message concerning President Ruto ahead of 2027 poll "There is no other formula...
  7. Kuna mtumishi aliyekubalika na watawala CCM na kudumu muda mrefu zaidi katika nafasi yake zaidi ya Jaji Mutungi?

    Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote. Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
  8. Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

    Habari wakuu, Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja. Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora. Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure. Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
  9. O

    Kwa mujibu wa takwimu, kati ya Watanzania 10 maskini, 7 ni wanawake. Sasa kwa nini wanawake hupewa nafasi zaidi za kufanikiwa kuliko wanaume

    Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
  10. AI yaanza kuchukua nafasi za watu Marvel na Disney; wasanii wakubwa wapigwa chini

    Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na nafasi zao kuchukuliwa na AI. Inadaiwa kuwa Disney sasa imeanza kutumia teknolojia ya AI kuchukua...
  11. Nafasi za kazi ualimu

    Job Advertisement A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas: 1. Chemistry and Biology 2. ICS/Physics/Mathematics 3. English and Chinese Qualified persons to submit their application letter and CV to 0717 905 715...
  12. A

    Nafasi ya kazi

    📢 PAID INTERNSHIP — 5 POSITIONS Makomu Impo & Expo – Dar es Salaam We’re hiring Accountant Interns with Marketing Skills. Requirements: • Accounting / Marketing student or graduate • Strong Excel & computer skills • Report‑writing ability • Basic bookkeeping & reconciliation • Able...
  13. W

    Nafasi ya Ajira

    Anahitajika muhasibu kufanya kazi kwenye kampuni ya clearing and fowarding pamoja na usafirishaji. Mwenye sifa atume CV na vyeti kwenye email hii; info@endabashfreighters.com
  14. FT: Manchester United 3-2 Liverpool | EPL | Old Trafford | 3 May 2026

    Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League. Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila timu ikihitaji pointi muhimu ili kujihakikishia nafasi ya tatu na kushiriki mashindano ya Ulaya...
  15. Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  16. Mabadiliko ya Teknolojia na Nafasi ya AI katika Software Development.

    Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
  17. Hospitali ya Sekou Toure yatoa tangazo la nafasi za kazi ya Mhudumu wa Mochwari na Afisa Tehama Msaidizi

    Pia soma: ~ Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi ~ Uongozi wa SEKOU TOURE Hospital uchunguze, kuna Mtumishi analazimisha wanunue majeneza anayouza, wakikataa anagoma kuosha miili ~ RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za...
  18. K

    Nafasi Ya Kazi Wezesha Mzawa Microfinance – Loan Officer

    We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison between financial institutions, individuals, and businesses applying for loans as well as process...
  19. Nafasi za Kazi - Security Guards

    TANGAZO Wanahitajika 5 Security Guards: Wanaume 3 Wanawake 2 Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar Sifa: Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage) Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea Waombaji watume CV zao...
  20. Emmanuela Mtatifikolo ajitosa kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani

    Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani. Hatua hii inaakisi utayari wake wa kupeleka uzoefu wake mpana wa kiuongozi katika ngazi ya juu ya uwakilishi wa wananchi. Akiwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…