nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  2. U

    Kumbe Nabii Issa ameshuhudia na kutabiri mwenyewe kwenye kurani 19:30-31 kuhusu , siku ya kufa na kufufuliwa kwake

    Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29) (Yule mtoto) akasema: “Hakika mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Amenipa kitabu na Amenifanya Nabii. Amenifanya mbarikiwa popote...
  3. Nabii IPM: Ni aibu una miaka 50 huna nyumba wala gari.

    Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki? https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
  4. Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  5. R

    Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Salaam, Shalom! Palikuwepo manabii wengi Katika agano la kale, mfano Adam, Nuhu, Musa, Elia, Nehemiah, Daniel nk nk. NABII katika Agano la kale na kuishia kwa Yohana Mbatizaji,waliishi maporini kujitenga na UOVU kuepuka kuona, kusikia UOVU Katika mikusanyiko ya watu, ingawa SI wote, manabii...
  6. Kuna muhuni wangu nimemaliza nae chuo eti sasaivi ni NABII 🤣🤣🤣 anahubiri kwenye youtube channel yake 🤣🤣🤣

    Akihubiiriii akiungurumaaa mwisho kwa upole utaskia usisahau ku like,ku comment na ku subscribe Chanel yangu 🤣 🤣 🙌 Nacheeeka 😂😂😂 na Kuna WADADA utskia tunashukuru mtumishi Kunaanina 🤣 🤣 🤣 aloooooh 🤣 🙌 🤣
  7. U

    Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Usije na kejeli bali hoja zenye ushahidi
  8. U

    Huu ndiyo ukweli Wakiristo na Mayahudi duniani hawamkubali Nabii wa mwisho Mohamed kwakuwa siyo Myahudi

    Siyo Myahudi wala Mzungu hivyo wanakuwa wagumu wa mioyo kumuamini
  9. U

    Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  10. Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  11. Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  12. Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  13. N

    Nabii wa Zimbabwe nae anena:;A powerful woman on the throne

  14. Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa

    Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
  15. Hebu msikilizeni Nabii Mtishiby juu ya hatima ya Tanzania!

    Watu wa rohoni huu Unabii juu ya hatima.ya Tanzania mnauonaje!
  16. Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  17. Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu

    Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla wake huwa ni hofu tuu na kutotulia kwa akili... Hawa watu wanakutia hofu zaidi halafu kimbinu...
  18. B

    Kiboko ya wachawi: Vichwa vya Taifa kama Tundu Lissu yuko Gerezani na watu wengine wasio na Mchango wowote wako Uraiani

    Nabii Dominiki Kiboko ya Wachawi aliyekuwa akiongoza kanisa lake kule Temeke Buza kwa Lulenge ameonekana akijipost video huku akicheka na kutoa maneno ya kejeli. Mwenyewe anadai eti anashangaa sana na kusema dunia haiko fair. Anasema haelewi wala haiingui akilini kuona Kichwa kama Tundu(...
  19. FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

    Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
  20. Prophet Denis atoa Unabii: Kuna kiongozi ambaye anakubalika sana na watu akionekana ni mwema anautaka ubunge, ila Mungu amemkataa

    Huyu Prophet Denis alitoa unabii wake Mei 11, 2025 kuhusu moja ya kiongozi ambaye ni mkuu wa mkoa anaoneka kukubalika na watu sana kwahiyo kutokana na kukubalika kwake akajiona anastaili kugombea ubunge lakini si mtu mzuri kabisa na Mungu amemkataa. Sasa ni nani huyu ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…