mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mateso aliyepewa Mwenyekiti wa CHADEMA Makumbusho hawa watu wamebakiza kujenga gas Chambers

    Mzee mzima kama huyu anatekwa anafungwa macho anavuliwa nguo na kupigwa na kupigwa picha akiwa uchi Next time ni gas chamber tu
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatuishindani na CCM, tunashindana na vyombo vya dola

    Cc: Lucas Mwashambwa and ChoiceVariable
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wana CCM mnauhakika Chadema Imekufa? Basi ruhusuni mkitano yao na mmfungulie Lissu

    Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa! Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa bunge Joseph Kizito Mhagama atemwa ubunge jimbo la Madaba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama, ameshindwa kutetea nafasi yake ya ubunge baada ya kushindwa katika mchuano wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika matokeo yaliyotangazwa na Katibu wa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mohamed Abood: Tunachagua aliye tayari kwa utii kwa chama na mwenyekiti wetu, viongozi wenye sifa ya migogoro hatuwataki

    Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya chama cha Mapinduzi(CCM)Taifa Bw. Mohamed Abood, amesema Chama hicho hakitaki viongozi ambao watakuwa chanzo cha migogoro ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Abood amebainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu uteuzi wa wagombea udiwani na ubunge

    Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025 https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
  14. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  15. JamiiForums Tanzania ZANU PF walimdhibiti Mwenyekiti wao Mugabe dakika za jioniiii. Je CCM wataweza?

    Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine. Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi. CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Inadaiwa mwenyekiti BAVICHA Geita hajulikani alipo

    Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila, kupitia ukurasa wake...
  18. JamiiForums Tanzania Katiba ijayo isiruhusu mwenyekiti/ kiongozi mkuu wa chama cha siasa kuwania nafasi ya uraisi ili kuleta mizania katika uongozi wa Taifa

    Katika muktadha wa uongozi wa Taifa letu la Tanzania, kumekuwepo na mijadala mingi kuhusu namna bora ya kuhakikisha uongozi unaendeshwa kwa misingi ya uwazi, demokrasia, na uwajibikaji. Miongoni mwa hoja zenye uzito mkubwa ni ile ya kutenganisha madaraka ya chama na dola. Nikiwa Mtanzania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche - Ukikubali masharti feki ya mahakama, utakuwa indirectly umekubali Chama kufutwa kimyakimya

    Salamu Ndugu Heche. Pole sana na majukumu yako, Kwa sasa mmewekwa katika mtego mkubwa, na mtego wenyewe ni kuwa mahakama imetumika kisiasa kuizuia CHADEMA kufanya siasa. Hili jambo usidhani ni dogo, ni kubwa. Baada ya Madhalimu kuona kuwa hawawezi kuidhibiti CHADEMA kwa kutesa, kununua, kufunga...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe Aibuka Dodoma Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya 2050

    Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe aibukia kwenye Uzinduzi wa Dira ya Taifa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…