mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Muthomi Njuki Achaguliwa Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Magavana Kenya

    Gavana wa Tharaka Nithi, Muthomi Njuki, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana nchini Kenya (Council of Governors – CoG), akichukua nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Gavana wa Wajir, Ahmed Abdullahi. Uchaguzi huo ulifanyika Oktoba 12, 2026, wakati wa mkutano wa magavana 47...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  4. JamiiForums Tanzania THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CCM Kata ya Kurasini yatiliwa shaka

    Mtifuano umeibuka katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kata ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kata ya Kurasini baada ya wagombea wawili kupinga matokeo yaliyompa ushindi Arnold Emanuel Peter, aliyepata kura 136, huku Claudias Matiti Togocho akishika nafasi ya pili kwa kura 36. Uchaguzi huo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa mtaa na anayedaiwa kuwa Mtumishi wa Mungu wazichapa kavu kanisani

    Mwenye kiti wa mtaa alitaka kuwapa ujumbe wananchi kuhusu usalama wa Kijiji ndipo padre alipo zuia nakudai hapa ni mahali pa ibada sio mengine, ila mwenye kiti akakazaa kifatacho mikono ikatembea kavukavu
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai amsweka ndani Mwenyekiti wa CCM Tawi la Bomang’ombe, Mbunge Mafuwe amtoa kwa dhamana

    Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Hassan Bomboka ameripotiwa kuagiza kukamatwa na kuwekwa ndani kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Tawi la Bomang'ombe Bi,Agnes Kimaro huku kukiwa na wingu zito kuhusu sababu hasa za kiongozi huyo kutoa amri hiyo . Mwenyekiti huyo alikamatwa na kuswekwa...
  8. JamiiForums Tanzania Minyukano na vikumbo vya kurithi nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa vyaanza kupamba moto ndani chadema.

    Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema? Je, baadhi ya viongozi walio katika harakati hizo wana taarifa za uhakika dhidi ya matokeo ya kesi...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akapokea gari jingine jipya binafsi kutoka kwa wafaddhili wa siasa zake chadema.

    Ni gari dogo zuri tu, binafsi kwaajili ya matumizi yake mwenyewe na ya familia yake, kama ambavyo pia aliwahi kupewa na marafiki zake kipindi cha hapo nyuma. Je, kwa hali ya kisasa ilivyo ndani na nje ya chadema kwasasa dhidi yake, unadhani ni wakati muafaka kwa kiongozi huyo kupokea gari hilo...
  10. JamiiForums Tanzania Ili Heche awe Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa baada ya hukumu, na ili aiongoze chadema kwa utulivu kabla ya kufutwa, ni lazima ambandue Lema CHADEMA

    Je, Makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa kwa sasa ana ubavu, nguvu, ushawishi na mikakati ya kisiasa ya kufanya hilo kutokea, ili hatimae kumdhibiti Lema asikatizekatize kwenye 18 za uongozi wake wa matamko na kula bata kwa pesa cha chama? In fact, Lema akiendelea kua mjumbe wa kamati kuu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  12. JamiiForums Tanzania Eti nyie jamaa wa CHADEMA Kuna haja gani ya kufuga manywele kama Tundu Lissu au kwenu ndo Demokrasia?

    Wakuu hebu chunguzeni background za maisha ya hawa waliofuga manywele kama Lissu mtagundua kama hawajawahi kuvuta Bangi basi hawana elimu za maana au ndiyo walaji wa kuu wa hela za donation wakiongozwa na deputy kiti Hivi kama mnafuga manywele hivyo kama Tundu Lissu mtaweza kuweka mezani hoja...
  13. JamiiForums Tanzania Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Mwana JF wewe ulichagua njia gani zaidi ya hizi za Mwanasheria wa serikali?
  14. JamiiForums Tanzania Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?

    Wana JF mlitafsiri vipi?
  15. JamiiForums Tanzania Bifu la kisiasa baina ya team Lema dhidi ya team Heche, nani hasa ni changamoto baina ya mafahali hawa wawili ndani ya CHADEMA?

    Kwa maoni na mtazamo wako, unadhani vita hivi baridi vya maneno kisiasa, baina ya mafahali hawa wawili wa kitaifa ndani ya chadema, Je, inakwenda kukigawanya na kukisambaratisha chama au inakwenda kukimarisha chama na kua imara na bora zaidi? Kivipi kwa mfano? Nani anaweza kua changamoto zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu unavyoweza kuchochea mpasuko ndani ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lissu, anaendelea kukabiliwa na kesi ya uhaini katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Anashtakiwa kwa kauli alizotoa Aprili 3, 2025, kwenye mkutano wa chama ambazo upande wa mashtaka unadai zilikuwa na nia ya kuchochea uasi...
  17. JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa aandamwa na tuhuma mpya za usaliti

    Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake, Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  20. JamiiForums Tanzania Lema ajitetea amuangushia jumba bovu Makamu mwenyekiti

    Akijibu tuhuma kwenye mtandao wa Twiiter (X) kuwa wanachama wanamashaka ana uhusiano na serikali ya CCM uhusiano ambao una harufu ya kukihujumu chama, kada huyo wa CHADEMA, ndugu Godbless Lema amejibu tuhuma hizo akidai yeye hati ya kusafiria (passport) alishughulikiwa na mwanasheria wa chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…