mwanzo

Mwanzo is the debut album by Sauti Sol, a Kenyan afro-pop band. It was released on August 4, 2009 by Penya Records.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanzo NEW WORLD ORDER. Sasa inaanza. Hapa yapo Mataifa yenye Nguvu tu Duniani.

    Sasa wale ambao waliishia madarasa na hawakupata ujuzi wa hii lugha watanisamehe. https://www.instagram.com/reel/Df5OITgoP8E/?lqvp=NXZ0NjgzZTMwZGt0
  2. L

    Njaa Imekuwa Kali kwa Wanaharakati Uchwara na Sasa Wameanza Kutoka Mashimoni Kama Panya . Huo Ni Mwanzo tu Wa Majuto .

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna Marefu yasiyo kuwa na Ncha ,Hakuna Mwanzo Usio na Mwisho,. Kilakitu kina Mwisho ,Kila kitu kilichoanza kina Tamati yake. Sasa ile jeuri ya Wanaharakati Uchwara ya kujifanya wajuaji na kujiona wajanja na kujiona Wamefika na kujiona ni washindi wa kila kitu...
  3. Wayebusi hatupoi moto ule ule mwanzo mwisho

    Hiyo ndo sifa ya Wayebusi. Ni sababu ya kula vizuri na kushiriki mazoezi. Afya njema na wakati wote kujitunza huku tukikabidhi kila kitu kwa sir God. Uyebusi ni Imani, ni Utamaduni, Ni Maisha ni Uchumi.
  4. TRC kwanini siti iliyokatiwa tiketi ya Morogoro–Dar AU Morogoro–Dodoma ionekane imejaa tangu mwanzo wa safari?

    Nimesoma taarifa ya gazeti la The Citizen kuhusu tiketi takribani 782,000 za treni za SGR zilizonunuliwa lakini hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026. Katika ufafanuzi wake Bungeni, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameeleza kuwa baadhi ya siti zinazoonekana kuwa wazi ndani ya...
  5. Mwamposa: End of an Era au mwanzo wa michezo michafu?

    Habari, Kwa siku za hivi karibuni tumeshuhudia ile video ya Mtume na Nabii Boniface Mwamposa akitoa ushuhuda na dokezo kuhusu kuingia chumba cha marubani na kumuuliza rubani kwanini ndege haitembei kwa speed. Video ilienda viral kwa sababu y maelezo yake na mazingira yake ukiwa ndani ya ndege...
  6. R

    Casual observation yangu inanionesha zimetokea transfer katika Mahakama za Mwanzo kila mahali. Maana yake nini?

    Nimepita mahakama za mwanzo kama tatu wafanyakazi wote ni wapya. Hii ni policy ya sasa au ni coincidence! Kama ni policy inasaidia nini maana pale ndio kiini cha rushwa nchini kote. Ni chuo cha namna ya kula rushwa
  7. Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  8. Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

    Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti. Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote. Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana...
  9. Simu za Raddy zinazotengenezwa Tanzania, ingependeza ziwe na quality nzuri na bei nzuri kuanzia mwanzo ili kutengeneza trust kwa wateja

    Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
  10. Vita vya Shetani Dhidi ya Mwanzo Mpya

    Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika... Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying to yourself you love God only to get a disappointment just to make you bitter, urudi kama mwanzo...
  11. H

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Nchemba

    Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Mpanda - Katavi. 🗓️ Agosti 30, 2026. ————————————————...
  12. Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
  13. Unadhani ni kwanini mtuhumiwa anaonyesha kukata tamaa kuanzia mwanzoni tu mwa kujitetea kwake?

    Je, ameona public sympathy aliyoitegemea haipo tena na haina msaada au anatumia mbinu hiyo ya kinyonge kuiatract tension na public sympathy upya kitaifa na kimataifa? Kwasababu sote ni mashuhuda wa kuona na kuskia, anachokifanya muungwana ni kama vile kuaga ndugu, jamaa, marafiki wa kitaifa na...
  14. Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
  15. Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili achoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Jeshi la...
  16. Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki

    Akina nani walisema natumfanye mtu kwa mfano wetu mwanzo 1:26 povu staki
  17. Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  18. Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na totozi Fifth yeye alipiga sana HEMP yaan mmea kila siku juana mdomoni Sixth , K vant mwanzo Mwisho...
  19. D

    Pre-Session Meeting ya tarehe 05 Agosti 2026 - Ni mwanzo kwa ATL kuwa Huru na Masharti ya Common Wealth Kufuatwa???

    Mnamo tarehe 31 Julai 2026 Mahakama Kuu umetoka barua yenye kichwa cha habari Pre Meeting Session kuhusiana na kesi ya ATL. Je, huu ndiyo tutegemee DPP akisema Hana nia ya kuendelea na kesi hii ya Uhaini na baada ya hapo kumuona Mh. ATL akikaribishwa Ikulu kupiga picha na Namba 1??? Je...
  20. MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

    Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau, Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki". Swali langu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…