Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Julius Kimani, amefanya maandamano katika Mahakama ya Milimani jijini Nairobi, kupinga kutoweka kwa mwanaharakati raia wa Tanzania, Twaha Mwaipaya ambaye hadi sasa hajulikani alipo.
Hayo yamejiri leo Jumatano, Novemba 11, 2026 siku ambayo shahidi...