mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mwabukusi: Hukumu haihitaji kutetewa, inapaswa kujieleza yenyewe

    Kufuatia majibu ya Serikali ya Tanzania dhidi ya Uingereza kuhusu hukumu ya kifungo cha miaka minne jela iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, kupitia ukurasa wake wa...
  2. BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  3. C

    Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  4. Rais wa TLS ndugu Mwabukusi akiondolewa ofisini litakuwa pigo kuwa sana kwa CHADEMA

    Hawa watu wanategemeana sana TLS+CHADEMA+KATIBU WA T...C hawa watu wanategemeana sana. ukiona mmoja anakosa ujue wana-share Hivi sasa tunaendelea kushinikiza Rais wa TLS aachie ofsni kwasababu ya sababu za kinidhamu kwahyo chadema kuweni wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.
  5. C

    Wakili Mwesiga Mutabazi amesema Mwabukusi aache TLS kwa kuwa sio chama cha siasa

    Wakili Mwesigwa Siraji Mutabuzi, amemtaka Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili kuachia nafasi hiyo kama hawezi kusimamia misingi, taratibu na sheria zinazoongoza taasisi hiyo ya kitaaluma, badala ya kuanza kugeuza kuwa 'Jukwaa la Kisiasa' Wakili huyo amedai kuwa, tangu Wakili...
  6. C

    Sakata la Mwabukusi , mahakama kuu yaipiga stop tena kamati ya maadili ya mawakili

    Mahakamani Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, kwa mara nyingine tena leo, Jumatatu Oktoba 19.2026 imetoa amri dhidi ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili kusitisha usikilizwaji wa shauri lililofunguliwa kwenye Kamati hiyo dhidi ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili...
  7. Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  8. Q

    Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

    Huu ni wakati wa kuunguruma kwa sauti ambayo haijawahi kusikika kwenye taifa hili. Sio wakati wa unyonge ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria. Tusiogope, mimi binafsi siogopi, TLS haiogopi, Mawakili msibabaike na wananchi msibabaike. Hatuwezi kuendelea kawaida kama...
  9. Mwabukusi: TLS inakabiliwa wazi na mashambulizi ya watawala

    https://www.facebook.com/share/v/1FHUuAKTYz/ Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema taasisi hiyo inakabiliwa na mashambulizi ya wazi kutoka kwa watawala, kauli hiyo ameitoa muda mfupi baada ya kuitikia wito wa polisi. Kauli hiyo inakuja siku chache...
  10. Mwabukusi: Nitamchukulia hatua Jaji Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu kwa kuwa hatuwezi kuwa na jaji asiye heshimu sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema atamchukulia hatua Jaji Fahamu Hamidu Mtulya kwa kumfikisha kwenye Kamati ya Nidhamu, akidai kuwa hawezi kukubali uwepo wa jaji asiy eheshimu sheria. Mwabukusi ameyasema hayo leo, Oktoba 15, 2026, jijini Dar es...
  11. Mwabukusi: Mawakili, huu si wakati wa unyonge, bali wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, leo Oktoba 15, 2026, baada ya kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam, amesema: “Mawakili, huu si wakati wa unyonge. Ni wakati wa kuthibitisha maana halisi ya utawala wa sheria.” Soma Pia: Mwabukusi...
  12. Mwabukusi afungua shauri la kikatiba, akata rufaa dhidi ya uamuzi wa kamati ya maadili ya mawakili

    Rais wa chama cha mawakili Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi, amefungua shauri la kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dodoma, kupinga uhalali wa shauri la kinidhamu linaloendelea dhidi yake mbele ya Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili. Kwa mujibu wa...
  13. R

    Mwabukusi: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeng'olewa Meno

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
  14. PostGE2025 Raisi wa TLS Mwabukusi: Kwa kilichofanyika Oktoba 29, ukisema ulikuwa uchaguzi lazima uwe mwenda wazimu

    Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema katika Uchaguzi uliopita tusisahau kuangalia ndani ya vyama. Vyama vya siasa vimefanya nini? Ukweli ni kwamba mambo yanaanzia kwenye vile mchakato ambapo unapokuwa vikiumba vipaji na kupata fursa badala ya kuanzia kule...
  15. Mwabukusi: Kama tunataka kupona kitaifa tutibu kwanza majeraha

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakilj Boniface Mwabukusi, amesema Tanzania inahitaji umakini, kusikilizana na kukubali makosa ili kujenga maridhiano na kuanza mchakato wa uponyaji wa taifa. Mwabukusi amesema hayo Agosti 28, 2026, katika Jukwaa la Demokrasia, akisisitiza kuwa...
  16. Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
  17. Wana Mbeya, tumkatae Mwabukusi, anatudharau sana

    Rais wa TLs Wakili Boniface Mwabukusi amesema Jiji la Mbeya linaonekana tofauti na majiji mengine nchini kutokana na shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi kumalizika mapema usiku, kauli ambayo imezua mjadala miongoni mwa wakazi wa jiji hilo na watumiaji wa mitandao ya kijamii. Akizungumza...
  18. Mwabukusi aishauri serikali kutokimbizana na makala za nje

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kuwa mjadala unaoendelea kuhusu makala za Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) haupaswi kuwa kipaumbele cha serikali, kwani maudhui yaliyoandikwa na chombo hicho ni kidogo sana ikilinganishwa na ukubwa wa...
  19. M

    Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili

    Tamko la viongozi wa mawakili wa chapters wa TLS juu ya shauri alilofunguliwa Rais wa TLS wakili Boniface Anyisile Mwabukusi kwenye kamati ya maadili ya mawakili taifa.
  20. Mwabukusi: Ni huzuni sana, Taifa letu limepoteza tunu zote na tunawekeza katika Chuki, Ulaghai, vitisho na kutowajibika

    MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO. Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…