muonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. From my bottom of my heart, sipendi muonekano wa nyuma wa sehemu ya Camera wa iPhone 17 & 18 Pro Max

    Mimi sio designer wa body za device za Apple lakini nina uwezo wa ku design vizuri muonekano wa nyuma wa sehemu ya camera kuliko kampuni ya Apple Brand New za iPhone ninazopenda muonekano wake mwisho ilikuwa iPhone 16Pro Max Kwa jinsi ninavyochukua muonekano wa nyuma wa iPhone 17 & 18 Pro Max...
  2. Mpangilio wa nyumba yako

    Kila nyumba inastahili kuwa na sehemu maalum ya kulia chakula— haijalishi ukubwa wa nyumba yako! Watanzania wengi tunaamini ili uwe na sehemu ya kulia, lazima uwe na nyumba kubwa yenye chumba maalum na meza ya viti 6 au 8. Matokeo yake? Tunajikuta tunakula kwenye makochi, kwenye coffee table...
  3. M

    Wananchi Wakarewa na Muonekano wa Kimabavu wa Askari mitaani

    Katika pitapita yangu mitaani na kwa kuongea na raia wengi kwenye bajaji na madaladala, Wananchi wengi wameonekana Kukerwa na kitendo cua kusambaza Askari waliokaa kivita na masilaha mazitomazito mitaani. Katika mazungumzo ya kawaida kwenye bajaji, raia wakawa wanahoji kuwa sasa hayo mabunduki...
  4. Muonekano wa rubani aliejuruhiwa vibaya na gaidi alietaka kuangusha ndege iliokuwa inaelekea Israel

    Unamfanyia mtu haya yote ili tu ukakimbilie mito ya pombe ya kufikirika.
  5. Umri na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?

    Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?
  6. Ukitaka Gari lenye muonekano wa Kisasa, Mafuta Kidogo, Service Kidogo, Reliable Basi Chukua Nissan Note E13 (e-Power)!

    Tuachane na Hybrids za Prius, Fit, nk. Ukitaka stress free, kagari flani ka misele ya mjini, basi ishi humu. Ni Nissan Note ya kuanzia mwaka 2021/22. Najua uzuri ni subjective, kila mtu ana vigezo vyake, ila at least tutumie neno muonekano wa Kisasa. Kwanini nasema reliable? Ukifananisha...
  7. Mfahamu Mzee wa miaka zaidi ya sitini lakini muonekano wa ujana kabisa

    Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI. jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
  8. Muonekano wa sura ya mke wa CEO wa kampuni ya Dell yazua gumzo Marekani

    CEO wa kampuni ya Dell Michael Dell pamoja na mke wake Susan Dell walikuwa White House tarehe 7 October na Rais Donald Trump wakijadili masuala ya teknolojia Susan Dell, ambaye ni mke wa CEO wa Dell alihimiza Wamarekani kufungulia watoto wao Child Trump accounts kwa ajili ya kufanya savings kwa...
  9. Kwa muonekano wa kigentleman hakikisha hukosi saa hizi mkononi!

    Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na mavazi,accesories kama vile miwani,saa za kike na za kiume,wallet,handbags,cheni zinapatikana kwa...
  10. Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Kuna vitu ukiwa navyo ni kama natural lubricant, inarahisisha mambo sana. unajikuta unapata nafasi ambazo wengine wanaodhani akili nyingi wameshindwa. pia watu wanakushobokea sana na kila mtu anataka awe rafiki yako tena muwe wote kwenye watu wengi/ public. Nashukuru watoto wangu wamechukua...
  11. Muonekano wa shule ya msingi Grace Mesaki

    Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa kiasi kikubwa mazingira ya kujifunzia na kufundishia, huku ukiongeza fursa kwa wanafunzi kupata...
  12. VIDEO: Wanawake tunaharibu muonekano na mvuto wetu kabisa ndio maana siku hizi hatuwavutii mabwana zetu.

    Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha lakini tujitafakari. https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
  13. Muonekano wa msanii Maua Sama wazua gumzo, mimba iheshimiwe, Wema ana mwili mzuri hata akunenepa uso

    Ukimuona Maua Sama sasa hivi huwezi hata kuaminisha yani kabadilika sura ilivo Pana ukikutana nae njiani unampita asee. Maua na Zuchu hatari SANA, wamenenepa sana, kwenye ujauzito ilihali Wema yeye alikua kawaida tu, hizi picha ni kabla na baada ya ujauzito.
  14. O

    Polisi Wapata Muonekano Mpya: Rais William Ruto Azindua Sare Mpya Kiganjo

    Rais William Ruto amezindua rasmi sare mpya za maafisa wa General Duty wa Kenya Police Service katika hafla iliyofanyika Ijumaa, Agosti 28, 2026, katika Kenya Police Training College, Kiganjo, Kaunti ya Nyeri. Chini ya muundo huo mpya, maafisa watavaa shati za rangi ya sky blue, suruali za...
  15. Jinsi ya kupangilia kitanda chako kiwe na muonekano mzuri

    Huna haja ya kutumia mabilioni au kukaa kwenye hoteli ya nyota tano ili kufurahia kitanda chenye muonekano wa kifalme. Mabadiliko makubwa ya muonekano wa chumba chako yanaanzia kwenye sanaa ya kupangilia kitanda chako kila asubuhi! Ukiangalia mpangilio wa kitanda hiki kwenye picha, utagundua...
  16. Muonekano wako ni kama unavokula... Pia akili yako ni kama unavoilisha

    Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna vizuri unaingiza mabonge tumboni, hivyo tumbo na mwili vyatumia nguvu kubwa kusaga, na labda kushindwa...
  17. Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

    Ni msingapore jamaa ana miaka 60 lakini muonekano wake ni WA miaka 30, jamaa kushangaza ulimwengu jinsi anavo jitunza
  18. K

    Ariana Grande amechoshwa na ukosoaji wa muonekano wake

    Mwanamuziki na mwigizaji Ariana Grande anapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa shughuli zake za hadharani baada ya kukamilika kwa ziara yake ya Eternal Sunshine Tour, huku mwakilishi wake akisema amechoshwa na uchunguzi na maoni yasiyoisha kuhusu maisha na mwonekano wake. Kwa mujibu wa taarifa...
  19. Kuna wanaume nikiwaangalia kwa muonekano wao, najiuliza hivi huyu atapata mpenzi kweli?

    Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana. vice versa Jamaa wengi...
  20. Unapendelea muonekano gani wa battery level kwenye screen ya simu yako?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…