Hili ni kumbusho kuwa karibia hifadhi zote za data zinaoza baada ya muda fulani, kitu ambacho ni muhimu kuzingatia.
HDD (Hard Disk Drive)
Zile mechanical ambayo haitumiki zinaoza baada ya miaka 2-20 kutegemea na ubora wa drive na hasa mazingira iliyohifadhiwa, mazingira ya TZ ya joto na...