muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HATUA MUHIMU: Misingi ya Marekebisho ya Katiba Kupitia Tume ya Maridhiano Inayotarajiwa Kuundwa

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inaingia katika hatua muhimu ya maamuzi ambapo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya kuunda Tume ya Taifa ya Maridhiano na Usuluhishi ili kuweka misingi ya kufanyia marekebisho Katiba ambayo iliahadiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
  2. Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Mazoezi yana faida nyingi sana kimwili na kiakili Piga push-up, kimbia mchakamchaka, Cheza mpira , basketball , volleyball, Ruka kamba, Endesha baiskel, Tembea kwa umbali mrefu, kufanya hivyo utaimarisha kinga ya mwili, UtaKuwa na pumzi ya kutosha, Utaepuka magonjwa nyemelezi, UtaKuwa na...
  3. Mwenye Ufahamu/kumbukumbu muhimu kwangu nitatoa asante kwake

    Natafuta choirs za Zamani ambazo zilikuwa na nyimbo maarufu mbalimbali namna ambavyo naweza zipata tena hizi albums/nyimbo iwe kwa Mp3/Mp4 au Cassette . 1. Choir waliyoimba Dunia itakunywa 2. Choir ya SDA Ukonga waliimba Nikushangaa Tu 3. Choir ya Kijitonyama album yenye wimbo wa Talati (og) 4...
  4. Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  5. Amani , haki ni muhimu Kwa watanzania wote.

    Salaam jamiiforum. Tupendane,tuhurumiane,na tusameheane, maana hakuna mkamilifu kwenye uso wa Dunia. Tusilipiziane visasi,tusiumize kizazi kingine Kwa makosa ya kizazi kilichopita. Tusiendekeze itikadi na misimamo ya kidini,hii itatugawa mapema kama mwanga wa radi. Yaani mkatoliki ajione ana...
  6. Tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja

    Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu. Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja: 1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
  7. Kwa nini watu wote wanazungumza na mungu huwa hawaambiwi majibu ya mambo muhimu ?

    Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
  8. M

    Hoja muhimu: Maneno kukinukisha yalitamkwa April 2025 alafu wananchi wakachochewa Oktoba 29 2025?

    Yaani mioyo ya wananchi watanzania ilisubiri miezi sita kupata ghazabu na kuchochewa kisha kukinukisha baada ya miezi sita? Kwa nini hawakukinukusha on the spot. Maana uchochezi ni suala la kuchochea mioyo ya watu na kupata hasira na chuki. Sio suala la kusubiri kama unapika wali na kuku.
  9. Je, hivi mafunzo ya ulinzi na usalama ni muhimu sana kwa jamii?

    Kama ni muhimu naomba maoni yako hapo, nakama sio muhimu nipe comment yako, kwa sababu nahitaji kuanza rasmi kutoa elimu ya ulinzi na usalama hapa. . .Mafunzo yetu yatajikita katika ulinzi wa afya, ulinzi wa maisha, ulinzi wa mali au haki. Ili kila mtu awe nauwezo wa kujilinda yeye mwenyewe ...
  10. U

    Taarifa Muhimu: Ili Democrats wamuondoe Trump madarakani kwa njia ya impeachment wanahitaji kura 67 za Maseneta

    Hamjamboni nyote? Nimeona nitoee taarifa hii mapemaa kuepusha mkanganyiko na sintofahamu. Basi nendeni kazini mkachape kazi
  11. Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. πŸ“š HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  12. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  13. Katiba Mpya au Chama Kipya? Je, Tunataka Kubadili Mfumo au Viongozi?

    Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna...
  14. C

    Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania. Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
  15. Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kama mlezi, kuchukua hatua za makusudi na kuharakisha mabadiliko ya uongozi TLS.

    Ni wazi, na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania. TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
  16. Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

    Kama una 10M Yas kibubu, M.wekeza Utt amis
  17. Jambo hili linaibua maswali muhimu kuhusu haki za mfungwa ikiwemo haki ya mahabusu kupata huduma ya kiroho. Kwanini Magereza wamzuie Askofu Mapunda?

    ============== Jambo hili linaibua swali zito kuhusu haki ya mfungwa ya kuwasiliana na viongozi wa dini na kupata huduma ya kiroho akiwa kizuizini. Ikiwa Askofu Edward Mapunda alizuiwa kumtembelea Tundu Lissu kwa sababu hakuwa na kibali cha Kamishna wa Magereza, Basi jambo la msingi ni kuweka...
  18. Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
  19. M

    Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  20. H

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π— 

    π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ 𝗔𝗙𝗔𝗑𝗬𝗔 π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’ 𝗑𝗔 π— π—”π—žπ—”π— π—¨ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—žπ—œπ—§π—œ π—ͺ𝗔 π—•π—¨π—‘π—šπ—˜ π—Ÿπ—” π—©π—œπ—˜π—§π—‘π—”π—  Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Oktoba 5, 2026, amefanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Vietnam, Mhe. Nguyen Hong Dien, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), kando ya Mkutano wa 153 wa Umoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…