muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. Kuzuiwa kwa fomu 2c: Mapato ya mauzo ya dawa Muhimbili yaongezeka hadi billioni 14

    Kufuatia serikali kupitia wizara ya afya kuzuia matumizi ya fomu ya dawa namba 2C ya NHIF; Kwa mujibu wa waziri wa afya, mapato ya dawa ktk hospitali ya Taifa Muhimbili yameongezeka kutoka wastani wa billion 2-4 kwa mwaka hadi kufikia wastani wa billioni 10-14. Fomu 2C ya mfuko wa taifa wa bima...
  2. B

    Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  3. Muhimbili yasema upasuaji wa watoto pacha umefanyika kwa mafanikio

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imetangaza kuwa upasuaji wa kutenganisha watoto waliokuwa wameungana umefanyika kwa mafanikio. Watoto hao Rehema na Neema walikuwa wameungana kifuani na upasuaji huo umefanyika leo Julai Mosi, 2022 chini ya Wataalam wa Afya 31. Awali, Mtaalam wa Magonjwa ya...
  4. Watoto pacha walioungana kufanyiwa upasuaji Muhimbili, leo Julai 1, 2022

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo inatarajia kuwafanyia upasuaji wa kuwatenganisha pacha walioungana kifuani. Upasuaji huo unakadiriwa kutumia saa saba na utafanywa na wataalamu wa afya 31 kutoka Tanzania na Ireland ambao wanatokea Shirika la Operation Child Life. Tanzania itakuwa nchi ya...
  5. Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa kuwatenganisha mapacha walioungana

    Hospitali ya Taifa Muhimbili itafanya upasuaji mkubwa July 1, 2022 unaotarajiwa kuchukua saa 6 hadi 7 wa kuwatenganisha Watoto mapacha wawili wenye umri wa miezi tisa waliozaliwa wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo na umbo la ndani wameungana ini ila kila Mtoto ana ili lake. Tanzania...
  6. S

    Idara ya Radiology Muhimbili itupiwe macho

    Leo nimefika hospital ya taifa Muhimbili kufanya kipimo cha Ultra sound,kwa kweli hali niliyoishuhudia ni ya kusikitisha kwani wagonjwa wamekuwa wakikaa muda mrefu bila kupatiwa huduma. Wagonjwa wakifika wanaambiwa wanywe maji wataitwa lakini unaweza kukaa zaidi ya saa 5 bado huitwi. Angalau...
  7. Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili wapewa miezi miwili kujitafakari kuhusu huduma zao

    Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel ametoa muda wa miezi miwili kwa uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kujitafakari kuhusu uwezo wao wa kusimamia ubora wa huduma za afya. Amesema hayo kufuatia malalamiko ya mara kwa mara yanayotolewa na wananchi wanaopewa huduma katika hospitali...
  8. System Developer - (4 Posts) at Muhimbili National Hospital

    Muhimbili National Hospital (MNH) is a tertiary Specialised and Super Specialist Hospital in Tanzania organized into nine Directorates with bed capacity of 2,178 out of which 1,570 beds are at the Main Upanga Hospital and 608 beds are at Mloganzila facility which is 30 km away from the main...
  9. Clerk Of Works - (2 Posts) at Muhimbili National Hospital

    Muhimbili National Hospital (MNH) is a tertiary Specialised and Super Specialist Hospital in Tanzania organized into nine Directorates with bed capacity of 2,178 out of which 1,570 beds are at the Main Upanga Hospital and 608 beds are at Mloganzila facility which is 30 km away from the main...
  10. Civil Engineer at Muhimbili National Hospital

    Muhimbili National Hospital (MNH) is a tertiary Specialised and Super Specialist Hospital in Tanzania organized into nine Directorates with bed capacity of 2,178 out of which 1,570 beds are at the Main Upanga Hospital and 608 beds are at Mloganzila facility which is 30 km away from the main...
  11. Ningekuwa na dhamana, nyumba za Magomeni Kota wangeishi wafanyakazi wa Hospitali ya Muhimbili na Magomeni

    Unapotamani mfanyakazi wa hospitali a-smile kwa mgonjwa kuna mambo mengi sana lazima afanyiwe kabla ya kukutana na wagonjwa. Miongoni mwa mambo hayo ni mahali pa kuishi karibu na hospitali. Wafanyakazi kazi wa Muhimbili pale wanaishi mbali sana, wanatoka na kurudi usiku sana kutoka na kufika...
  12. Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  13. Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) linamshikilia ALLEN SAMWEL MHINA, Miaka 31, Mbondei, Mkurugenzi wa Mtandao wa kijamii wa U-turn Collection mkazi wa Temeke Mwembeyanga na wenzake 13 kwa tuhuma za kusambaza video katika...
  14. Imekaaje Watanzania wengi kuwasilisha kuuza figo zao Muhimbili kisa umaskini?

    Mbona kama jamii watu wamefika huku, nini kimefeli, kwa nchi yenye madini ya kumwaga, ardhi kubwa yenye rotuba nzuri kote, vivutio bora Afrika vya kitalii na mazuri mengine mengi. Tatizo nini haswa?
  15. 36 wajitokeza kuuza figo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana na ugumu wa maisha. Takwimu hiyo imetolewa jana wakati wa maadhimisho ya siku ya kukabiliana na ugonjwa wa Figo duniani. Awali, Ofisa Ustawi wa...
  16. Hospitali ya Taifa Muhimbili yafafanua kuhusu video ya Joseph Haule (Profesa J) iliyosambazwa mitandaoni

    Baada ya Video kusambaa mitandaoni ikimuonesha Joseph Haule (Profesa J) akiwa anapambania maisha yake kwenye Chumba cha Wagonjwa ambao wanapewa Uangalizi Maalumu(ICU), Hospitali ya Muhimbili imedai kumtafuta aliyerekodi Video hiyo. Pia soma; 1). Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge...
  17. Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

    Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea. Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo. Serikali kupitia hiyo video...
  18. Hospitali ya Muhimbili waunda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto

    "Hospital ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana na Shirika la Tumaini la Maisha inaratibu upatikanaji wa dawa na kuzifikisha kwenye hospitali zinazounda mtandao wa kutibu saratani kwa watoto," hayo yamesemwa na Dkt. Rehema Laiti, Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kwa Watoto Muhimbili. Anaendelea...
  19. M

    Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

    Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
  20. Mwili wa bondia wakwama MOI, deni la Sh milioni 6 latajwa, mabondia wajichangachanga

    Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake. Mbilinyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…