muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
  2. Muhimbili yabeba jukumu la matibabu ya Dismas Jackson

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuwafikia watu mbalimbali wasiokuwa na uwezo ili kuwapatia huduma za matibabu, ikiwa ni kutimiza azma ya Mheshimiwa Rais katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kuhakikisha huduma za afya zinakuwa jumuishi, bora na zinazoweza kufikiwa na kila mwananchi...
  3. Kupeleka 1.2 Trilion kwa ajili ya kuibomoa na kuijenga Muhimbili ni kumuhujumu Rais Samia

    Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi, uadilifu na uzalendo wakitanguliza maslahi ya Taifa Mbele. Siamini hata kidogo kwamba wizara ya afya ya...
  4. A

    KERO Kutumia Trillioni 1.2 kuijenga Muhimbili ni dhihaka kwa Watumishi wa Afya

    Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la Muundo, Bunge lipo kinywa kujadili na kupitisha muundo Mpya wa Mishahara sekta ya Afya inchini...
  5. M

    Mbunge Sumbawanga Mjini, Kuliko kujenga Muhimbili mpya kwa Tsh. 1.2 Trilioni bora tujenge hospitali mikoani kuipunguzia mzigo hospital hiyo

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri...
  6. Baada ya kuhangaika kwa miaka 10, Hussein Ayubu atoa ushuhuda alivyotibiwa Muhimbili

    Baada ya kuhangaika kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali bila mafanikio, Hussein Ayubu shuhuda aliyetibiwa na kupona Muhimbili (MNH) anasimulia namna alivyokua na shaka kutokana na maneno ya watu juu ya huduma katika hospitali za umma. Baada ya huduma bora za kibobezi alizopokea MNH...
  7. KERO Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili shughulikieni kero ya ubovu wa magari ya taasisi

    Tunaomba uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kushughulikia kero ya ubovu wa magari ya taasisi. Shughuli nyingi zimekwama zinazofanyika nje ya hospitali kama kusafirisha sampuli, kufuata mahitaji mbalimbali nje ya hospitali na pia kufanya huduma za ustawi wa jamii. Kila tukifuatilia kupata...
  8. KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

    Igweeeeeee Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
  9. A

    Responded Mrejesho: Barabara ya Mtaa wa Isevya – Muhimbili imerekebishwa, sasa hatulii na vumbi tena. Tunawashukuru JamiiForums

    Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Tulikuwa...
  10. Viongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wafanya ziara nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kwa mwaliko wa Jeshi la Comoro, ikiwa ni hatua ya awali ya kuanzisha ushirikiano wa kimkakati katika kuboresha huduma za afya visiwani humo, hususan hospitali ya jeshi. Ziara hiyo iliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  11. Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  12. K

    KERO Responded Hospitali ya Muhimbili Mloganzila hakuna huduma tangu asubuhi, wanadai system inasumbua

    Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote. Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe...
  13. DOKEZO Responded Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  14. A

    KERO Serikali iingilie kati! Wauguzi na Wahudumu wa Afya wa Muhimbili, uongozi haututendei haki, hali yetu ni tete

    Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM. Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
  15. PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  16. Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

    Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao. Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari...
  17. Muhimbili yatoa ufafanuzi jinsi ya kuchangia Figo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa Wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo, kufuatia taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 2, na Mkuu wa Kitengo...
  18. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  19. Ukiwa kama Great Thinker wa JamiiForums una Fikra gani za Nje ya Box hasa kumhusu huyu Daktari Feki aliyekamatwa Muhimbili na tena Amana?

    Hivi ni kwanini Wapuuzi wachache wanapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania hasa tu kukiwa na Jambo muhimu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…