muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania wameshauriwa kuondoa hicho kituko cha nyungu kilicho Muhimbili na waanze kufuata mbinu za sayansi

    Kuna huyu mbunge wa Tanzania ambaye ni CCM kindakindaki anayeitwa Hamis Kigwangalla, ameshauri waondoe hicho kitu walichoweka kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili na kuanza kukumbatia mifumo na mbinu za kisayansi ili kukabiliana na corona. Inachekesha sana maana hawa waliimba sana mapambio...
  2. Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mloganzila zimefunga mashine nne za kujifukiza. Wakati Muhimbili zikifungwa mashine tatu, Mloganzila imefungwa moja. Gharama ya kila mashine ni Sh7.5 milioni na kila moja ina uwezo wa kuhudumia watu sita kwa wakati mmoja wanaopaswa kukaa kati ya dakika tano...
  3. J

    IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  4. Kiwanda kinachotengeneza Barakoa zinauzwa Muhimbili kiko wapi na kinamilikiwa na nani?

    Swali hili limetokana na kampeni ya mashaka inayofanywa na Viongozi wa serikali kuzipinga Barakoa zinazotoka mahali pengine bila hata chembe ya ushahidi kwamba zina matatizo.
  5. Hospitali ya Taifa Muhimbili yatoa neno baada ya vitanda kuonekana nje

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa huwa inao utaratibu wa kupuliza dawa ya kuuwa wadudu karibu maeneo yote ya hospitali na kwamba wakati wa zoezi hilo wagonjwa hutolewa nje na kuwekwa chini ya mahema. Kauli hiyo imetolewa kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa hospitali hiyo, baada ya...
  6. TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

    Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana. Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake. Amina
  7. Hospital ya Muhimbili kuanza kufanya upandikizaji kwa wenye Saratani ya Damu

    SERIKALI imesema Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), itaanza kupandikiza chembechembe hai kwa wagonjwa wa saratani ya damu kuanzia Machi mwaka huu.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, alitangaza neema hiyo jana alipozuru katika hospitali hiyo...
  8. U

    Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
  9. K

    TANZIA Aliyekua Afisa elimu Wilaya ya Magu ndg Jesse Kaanyuma afariki dunia hospitali ya Muhimbili

    Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili. Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa ndugu wa karibu kwenye familia kwa pamoja tunasema poleni walioguswa na msiba huu mzito
  10. Ugonjwa hatari usiofahamika kwa wengi watikisa Muhimbili

    *Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo KUTOKWA haja kubwa bila kujijua ni ugonjwa unaosababishwa na kukosa seli kwenye utumbo mkubwa zinazosaidia kusukuma haja kubwa kuitoa ndani ya utumbo. Wataalamu wa...
  11. Q

    GE2020 Polepole ni wa kupuuzwa, eti CHADEMA haina hospitali, kwani Muhimbili ni ya CCM?

    Tangu kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi hakijawahi kuwa na Katibu Mwenezi hopeless kama huyu. Tunakoelekea kuna siku atasema barabara zote za Tanzania zinamilikiwa na CCM kama walivyojimilikisha viwanja vya michezo. "Wanasema watatoa Bima ya Afya kwa Wananchi wote, niwaulize; Unaweza kutoa Bima...
  12. K

    Mgambo wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili acheni kufanya biashara ya barakoa (mask)

    Hivi ni kwa nini mnafanya mradi wa kitoto namna hiyo, mnawazuia raia kupita kwenye geti kama hawajavaa barakoa (hata staff ambao wanapewa na mwajiri wao nyie mnalazimisha wanunue wavae wakati wana elimu ya barakoa kuliko ninyi), na huko nje mmewaweka jamaa zenu ambao hata kutunza (kuhifadhi)...
  13. M

    Ushauri wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?

    Samahani Wapendwa mimi Ni muhitimu wa kidato Cha sita mwaka huu(2020) nilisoma PCB na nimepata DDD nina two ya 12, Nauliza kama Kuna uwezekano wa kupata Course ya bachelor in Medical Laboratory Pale Muhimbili?
  14. Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

    Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha. Muhimbili ni kubwa ndio niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk. Walioko hapa tujuane jamani nawatakia...
  15. D

    Hospitali ya Muhimbili mnatuchosha

    Naomba kueleza matatizo tunayoyapata sisi tuliopeleka wagonjwa wetu muhimbili kutibiwa. Ni shida tena mateso kuja kumuona mgonjwa wako wodini walinzi na wahusika wamefanya dili kutengeneza pesa ukitaka kumuona mgonjwa wako utaruhusiwa ila utatoa chochote na wengine hawaruhusiwi kabisa, watakaa...
  16. Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
  17. Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  18. Muhimbili yakanusha taarifa za uzushi kuwa muuguzi wake amefariki kwa Corona

    UFAFANUZI KUHUSU KIFO CHA MAREHEMU EVODIA KAPINGA ALIYEKUA MUUGUZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI* Dar es Salaam, Jumapili Aprili 19,2020 Kuna taarifa inasambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Marehemu Evodia Kapinga amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Corona na kwamba alikua akihudumia...
  19. Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi hiyo imefikiwa baada ya Wagonjwa wapya 53 kukutwa na #COVID19 Wagonjwa wote ni Watanzania ambapo 38 wanatoka Dar; 10 wanatoka Zanzibar; Kilimanjaro 1; Mwanza 1; Pwani 1; Lindi 1 na Kagera 1 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa idadi hiyo huku akisema...
  20. Tutorial Assistant – 5 Post At Muhimbili University

    POST: TUTORIAL ASSISTANT – 5 POST POST CATEGORY(S): HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER: Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) APPLICATION TIMELINE: 2020-03-31-2020-04-13 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Understudying senior faculty by attending lectures...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…