muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  2. Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

    Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni rafiki kwangu pia. Mwingine atauliza; Wapi mlikutana kwa mara ya kwanza? Jibu: Ilikuwa ni Jumatatu...
  3. Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa...
  4. J

    Serikali: Hospitali ya Muhimbili kujengwa upya, itawekewa miundombinu ya kisasa

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema hospitali ya Muhimbili imejengwa miaka 60 iliyopita na miundombinu yake imeelemewa kabisa. Hivyo serikali itajenga miundombinu mipya na ya kisasa kabisa itakayokidhi mahitaji ya miaka 50 ijayo itakayojikita kwenye Ubingwa na Ubobezi. ===== Muhimbili...
  5. M

    Muhimbili tusaideni hili la dawa ya tezi dume

    Facebook kuna clip inayotangaza dawa ya kutibu tezi dume bila upasuaji wala vidonge. Tangazo linajinasibu ya kuwa dawa hiyo inatoka Muhimbili. Ukiangalia anayetangaza kavaa Tshirt yenye nembo zinazohusiana na serikali. Ukijaribu ku-chat ili kujua bei majibu yanakuwa si ya wazi sana. Kwakuwa...
  6. Huduma za kupandikiza mimba (IVF) Muhimbili zimeanza?

    Wakuu habari, Naomba kujua kama huduma.za IVF zimeanza kutolewa na kwa gharama ipi maana nahitaji kupata mtoto na mwenza wangu ambae imethibitika mirija imeziba. Najua zipo hospital binafsi zinafanya ila gharama zao nasikia ni kubwa mno.
  7. TANZIA Mke wa Augustine Lyatonga Mrema afariki dunia

    Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu. --- Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa kufiwa na mkewe Rose Mrema. Taarifa iliyotolewa kwa umma na Mrema imesema mkewe amefariki dunia usiku wa...
  8. Leo nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona halafu nimeogopa, nimerudi

    Leo, yaani jana Jumamosi nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona. Nimeingia katika geti, nilikuwa nashangaa shangaa pale akaja mwanamke mmoja akaniuliza, "Kwani ulikuwa unataka kwenda wapi?" Nikamwambia nataka kuchanja Corona. Akaniambia pita pale hospitali ya Jakaya, halafu mbele kule kuna jengo...
  9. Health Assistant II at Muhimbili National Hospital (12 Posts)

    POST: HEALTH ASSISTANT II – 12 POST POST CATEGORY(S): HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER: Muhimbili National Hospital APPLICATION TIMELINE: 2021-08-19 2021-09-02 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES To clean wards, compounds, halls and equipments To clean and disinfect the mortuary...
  10. K

    Mdahalo kufanyika Muhimbili ni kukosa maarifa dhidi ya kupambana na COVID-19

    “Msimamo wa Serikali ni kwamba shughuli ziendelee kama kawaida lakini Watu wachukue tahadhari, Wizara ya Afya imeandaa Mdahalo kesho pale Muhimbili wale wote wenye hoja waende wakatoe hoja zao watajibiwa, hoja inajibiwa kwa hoja” Msemaji Mkuu @MsigwaGerson My take: Tusaidieni kuwaambia...
  11. Kibanda cha kupigia nyungu Muhimbili bado kipo?

    Hii nchi ina vituko sana aisee! Yaani kila nikikaa na kukifikiria hiki kibanda cha kupigia nyungu hapo Muhimbili naishia kucheka. Hivi lilikuwa ni wazi la nani hasa kujenga hicho kibanda? Na ni kweli watu walikuwa wanaenda hapo kupiga nyungu? Kuna yeyote humu JF aliyeenda kupiga nyungu hapo...
  12. Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

    Tundu Lissu akipelekwa Nairobi Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki...
  13. Bila Barakoa, Muhimbili huingii kuanzia leo. Msindikizaji mmoja tu

    Twende na sayansi
  14. TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
  15. M

    Baada ya Wanaume wengi wa Tanzania kuwa Utopolo Vitandani, Wanawake wakimbilia Mimba za Kupandikiza Muhimbili

    Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii. Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi. Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado...
  16. J

    Spika Ndugai ataka PAC kuwahoji watendaji wa Tanesco, TRC, Muhimbili na Posta kwanini hawakupeleka mahesabu kwa CAG!

    Spika wa bunge ameyashangaa mashirika makubwa nchini kama Tanesco, TRC, Muhimbili, MOI na Posta kushindwa kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Ndugai ameitaka kamati ya bunge ya mashirika ya umma PAC kuwaita watendaji wa mashirika hayo na ikiwezekana wataishauri serikali ivunje bodo za mashirika...
  17. Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

    Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili. Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka wilayani, bado kuna gharama za malazi na matibabu. Na gharama za matibabu nilivyoziona, mwananchi wa...
  18. Q

    Mashirika 11 ya Umma hayakupeleka hesabu zao kukaguliwa ikiwemo TANESCO, TTCL, NHIF, Posta na Muhimbili

    Taasisi ambazo hazikuwasilisha hesabu zake kukaguliwa. 1. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili 2. Kampuni ya Mbolea Tanzania 3. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 4. Mfuko wa UTT 5. Shirika la Magazeti Tanzania 6. Shirika la Posta Tanzania 7. Shirika la Reli Tanzania 8. Shirika la Simu Tanzania 9...
  19. M

    Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

    Habari wapendwa, Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili. Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
  20. S

    Muhimbili wamgomea Kigwangala

    Kuna taarifa inayosambaa mitandaoni na inayodaiwa ni kutoka Hospital ya Muhimbili wakimjibu na kumpinga Kigwangala kuhusu wazo lake la kutaka mashine ya kupiga nyungu iondolewe. My take: Kama hio imekuwa ni biashara nzuri, basi tutarajie mengi. Zaidi, soma: Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…