muhimbili

Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) is a public university in Dar es Salaam, Tanzania. It is accredited by the Tanzania Commission for Universities (TCU).

View More On Wikipedia.org
  1. Muhimbili: Tumemrejeshea Tatu Hassan matumaini baada ya kukata tamaa ya maisha

    Tatu Hassan (23), mkazi wa Sangoma, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani, kwa miaka minne aliishi na uvimbe mkubwa chini ya taya uliomsababishia maumivu makali na msongo mkubwa wa mawazo, na kufikia hatua ya kukata tamaa na kutamani kufa. Kupitia utaalamu wa Madaktari Bingwa na Bobezi pamoja na...
  2. Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  3. Si mara ya Kwanza Hospitali ya Muhimbili kutuhumiwa kuua Wanaharakati na Wapinzani wa Serikali

    Apumzike kwa amani mtoto Angel. Hospitali ya Muhimbili tangu zamani imekuwa ikituhumiwa kuua Wwakosoaji wa Serikali. Kitendo cha kusema hukubaliani, au ukiwa shahidi Mkuu unauawa. Mfano mtoto Angel aliikuwa ni kielelezo cha Watoto waliouawa bila kuwa kwenye maandamano. Samia alisema waliopigwa...
  4. Muhimbili yazungumzia taarifa ya kifo cha Angel Wariael Noel aliyejeruhiwa kwa risasi Oktoba 29, 2025

    Baada ya kusambaa kwa taarifa ya binti Angel Wariaeli aliyepata majeraha katika tukio la Oktoba 29, 2025, kwamba amefariki Dunia ~ Angel aliyepigwa risasi 29 Oktoba, 2025 afariki dunia, Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa neno kuhusu taarifa hiyo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa...
  5. Confirmed :Lissu ni Mzima hayuko Muhimbili

    TETESI za Lissu kuwa Muhimbili zilipenyezwa kwa kutoa watu kwenye focus Nimeongea na kamishna wa alipo, pia na mtu wake wa Karibu Lissu Mzima hayupo muhimbili Britanicca
  6. H

    HOJA Tunaomba mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa MUHAS kozi ya Nurse Anaesthesia

    Habari za muda huu. Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika kozi ya Bachelor of Science in Nurse Anaesthesia. Kozi hii imekuwa na mahitaji makubwa, hasa kwa...
  7. A

    KERO Huduma mbovu parking ya Hospitali ya Taifa Muhimbili: Nimelipishwa "Lost Ticket" TZS 20,000 baada ya kulipia parking

    Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wawe makini. Nilifika kwenye kibanda cha malipo ya parking ili kulipia huduma hiyo...
  8. RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  9. Mamia wafurika kambi ya matibabu ya macho MUHIMBILI Zanzibar

    Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Qatar Charity ambapo Septemba 01, 2026 huduma hizo zimeanza kutolewa rasmi...
  10. Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  11. A

    KERO Kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya Radiolojia katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI. Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya MRI na CT Scan. Wagonjwa hufanya vipimo lakini majibu huchukua muda mrefu kutoka, wakati...
  12. A

    KERO Responded Idara ya Radiology – Muhimbili Hospital hatulipwi malipo ya muda wa ziada, kwanini sisi tu?

    Watumishi wa Idara ya Radiology ni idara pekee hawalipi extra duty, unapangiwa roaster unasoma extra duty asubuhi hadi saa mbili usiku lakini haulipwi. Kinachouma ni kwamba muda wako wote wa kujishughulisha mtaani unaishia kazini. Lakini humo ndani kuna taasisi kama MOI na JKCI wao wanalipwa...
  13. KERO Kuchelewa kwa Madaktari kutoa huduma Muhimbili, wengi wanaanza kuhudumia wagonjwa saa 5 Asubuhi

    Nimekuwa nikihudhuria Muhimbili kwa takribani mwezi sasa. Ukweli wagonjwa wanachukua muda mrefu sana kumsubiria Daktari afike. Madaktari wengi wanaanza kusikiliza wagonjwa kuanzia SAA TANO asubuhi wakati kuna watu wamefika toka saa kumi na moja asubuhi. Nashindwa kuelewa wanakuwa wapi alafu ni...
  14. K

    Kukosekana kwa dawa ya chemo Muhimbili kwa wagonjwa wa kulazwa

    Nina ndugu ambaye anapata matibabu pale hajaweza kupata matibabu sasa wiki ya tatu,mamlaka zirekebishe hii dosari wagonjwa wanateseka
  15. Mama ajifungua Watoto Mapacha Watano Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Wakuu, Nimeisikia hii taarifa kwamba kuna mama kajifungua watoto mapacha watano hospitali ya Taifa Muhimbili.
  16. Wanne wafanyiwa Upandikizaji Figo kwa Njia ya Tundu Dogo katika Hospitali ya Muhimbili

    Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo (laparoscopic surgery), hatua inayotajwa kuongeza ubora wa huduma na kuharakisha uponaji kwa wagonjwa...
  17. M

    Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  18. Waziri Mchengerwa: Muhimbili mpya siyo mradi wa afya tu, ni uwekezaji wa kimkakati

    WAZIRI MCHENGERWA: MUHIMBILI MPYA SIYO MRADI WA AFYA TU, NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi...
  19. Rais Samia Azindua Upanuzi Mkubwa Muhimbili. Utagharimu takribani Sh. Trilioni 1.2

    π™π˜Όπ™„π™Ž π™Žπ˜Όπ™ˆπ™„π˜Ό π˜Όπ˜Όπ™‰π™•π˜Ό 𝙐𝙅𝙀𝙉𝙕𝙄 π™ˆπ™†π™π˜½π™’π˜Ό π™ƒπ™Šπ™Žπ™‹π™„π™π˜Όπ™‡π™„ π™ˆπ™π™ƒπ™„π™ˆπ˜½π™„π™‡π™„. SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.
  20. SWALI TATA: Maiti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo Chande na tume yake walizichunguza Muhimbili zilitoka wapi? Walikwenda kuzifukua walikozizika au?

    Moja ya hoja iliyoibuliwa na CHADEMA wakichambua ripoti ya Tume haramu ya Othman Chande na wazee wenzake walioamua kuuza utu wao kwa kuamua kuwa "wazee wa kutunga uongo" ni suala la wao kujigeuza kuwa madaktari wa kuchunguza Maiti Ili kujua chanzo chake CHADEMA wanasema ktk ripoti ya uchambuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…