mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wao hawakua na subira,wakamfuta kazi,anadai malipo asepe zake,wanamwambia asubiri.kwa hiyo wao pekee ndio wana haki ya kusubiriwa?

    mtumishi wako amefiwa,tena kafiwa na mwanae anaomba siku 7 unampa 3.kweli? Akiwa kwenye majonzi anahitaji faraja,unamwambia umemfuta kazi (kienyeji tu),anakubali.anakuomba umpe stahiki zake unamwambia asubiri sijui masuala ya bank yamefanyaje!! ASUBIRI! Mmenifuta kazi ghafla mnilipe ghafla...
  2. Mtumishi wa umma mzinifu na mlevi ni chanzo kikuu cha ubovu wa utendaji kwenye taasisi za umma

    Siamini na wala sitarajii matokeo mazuri kwenye taasisi au majukum yoyote yanayoongozwa au kusimamiwa na mtu mlevi, kahaba, mzinifu. Anatoa wapi nguvu ya kuhudumia na kuleta matokeo kama kashindwa kuonea huruma INI lake na kutosheka na mke/mume wake? RUSHWA NA WIZI vyote chanzo ni ulevi na...
  3. C

    Kihongosi amesema hakuna mtumishi wa umaa aliye juu ya CCM

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amewawashia ‘taa nyekundu’ watumishi wa umma wanaojiona wako juu ya chama hicho tawala, akisema hakitasita kuchukua hatua dhidi yao. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Oktoba 18, 2026, akiwa katika ziara ya...
  4. Mfanyabiashara Dodoma Adai Kuchomewa Duka la Sh Milioni 120, Amtuhumu Mtumishi wa CCM na kumtishia kupotezwa

    Mfanyabiashara wa nguo jijini Dodoma, Essau Andrew maarufu Andrew Fashion, amedai kuchomewa duka lake lenye thamani ya Sh milioni 120 miezi miwili iliyopita, akimtuhumu mtumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Raymond Mosi, kuhusika na tukio hilo na baadaye kumtishia kupotezwa anapodai haki yake...
  5. Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

    Wakuu mambo vipi ? Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
  6. Diamond Platinumz: Rayvanny au Jux Atanipa Huduma Gani?, Tutadanganyana, Tunamhitaji Mtumishi Joel

    Diamond Platnumz Akosoa Mtazamo wa Jamii Kuhusu Huduma za Kiroho, Aeleza Faida ya Mchungaji Joel na Kutetewa kwa Joel Lwaga Msanii nguli wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ametoa ushuhuda na maelezo ya kina jukwaani wakati wa ibada na hafla ya kiroho kuhusu maana halisi ya kutoa na...
  7. SASA MTUMISHI ANAYEIMBA NA WANAMZIKI WA KIDUNIA NA WANAYESHIRIKIANA NA CCM TOFAUTI IKO WAPI?

    SASA MTUMISHI ANAYEIMBA NA WANAMZIKI WA KIDUNIA NA WANAYESHIRIKIANA NA CCM TOFAUTI IKO WAPI?
  8. A

    Malalamiko kuhusu utoaji huduma katika Zahanati ya Mkolowony Moshi DC

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa wagonjwa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni taarifa kwamba mtu huyo anahusika hata katika kutoa sindano kwa...
  9. NIKIWA MIONGONI MWA WATU WENYE ULEMAVU NACHUJUA FURSA KUMSHUKURU MTUMISHI JOEL LWAGA NA DIAMOND, MUNGU AWAZIDISHIE MLIPO TOA

    Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka dodoma, Arusha, nk kote huko tulipambana sana kupata mikopo ya asilimia tulizo tengewa na serikali...
  10. Sheria inasemaje kwa mtumishi wa umma kukaa Eda?

    Nimeweza hili jambo na ninataka wenye uelewa waje waseme chochote.
  11. A

    KERO Mtumishi anapohama asilimia za utendaji katika mfumo wa PEPMIS zinarudi 0, hii inaumiza

    Watumishi wanaohama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine wanakabiliwa na changamoto ya mfumo wa PEPMIS, ambapo wanapohamishwa, asilimia zao za utendaji kazi zinaonekana kuanza upya kutoka sifuri, hata kama mtumishi alikuwa amefikisha, kwa mfano, asilimia 60 katika Halmashauri aliyotoka. Hali...
  12. Kufanya Mambo Yanayolipinga Jina La Yesu Kunaweza Kukupelekea Ukawa Mtumishi Wake

    Matendo 26:9 NEN [9] “Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti. Wapingaji wa uwepo wa Mungu ni wengi, wanaolikataa jina la Yesu ni wengi, wanaopinga Injili ya kweli ni wengi, wanaokataa kumwamini Yesu ni wengi. Mtume...
  13. A

    KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  14. A

    KERO Waziri Shemdoe alisema Mfumo wa PEPMIS usiwe kikwazo cha kutopanda daraja Watumishi, Wilaya ya Chemba tunateseka

    Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa. Tuliposubiri kupata majibu, baadhi yetu tuliwasiliana na Maafisa Utumishi...
  15. Ushauri Course ya Kusoma Masters. Kwa Mtumishi idara ya msingi.

    Wakuu habarini. Mimi ni mtumishi wa umma. Idara ya Elimu msingi. Nimesoma BAED. Naomba ushauri course ya kusoma Masters, lengo ni kutoka kufundisha. Pendeleo langu ni MASTER OF EDUCATION IN QUALITY MANAGEMENT. Je, ni best option over MASTER OF EDUCATION IN ADMINISTRATION, PLANNING ANF...
  16. M

    Ukiwa mtumishi wa umma maisha yako yapo hatarini kwa ushirikina masaa 24 siku 365.

    Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo. Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia. Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
  17. Waziri Dkt. Akwilapo aagiza Mtumishi kusimamishwa kazi na kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kukiuka misingi ya utumishi

    WAZIRI DKT. AKWILAPO AAGIZA MTUMISHI KUSIMAMISHWA KAZI NA KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUKIUKA WELEDI NA MISINGI YA UTUMISHI WA UMMA Dodoma Agosti 12, 2026 Kufuatia malalamiko ya wananchi wanaoishi katika eneo la Bahari Beach Manispaa ya Kinondoni kuhusu kusudio la ujenzi wa kituo cha...
  18. M

    Uzi maalum kumhusu Mtumishi Moses Kulola,Nini unafahamu kuhusu yeye?

    Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola, Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye alifanya mambo makubwa kipindi hicho, Kwa wewe ambaye ulikuwepo kipindi hicho ni nini uliwahi...
  19. A

    HOJA Serikali Itusaidie Kuboresha Mazingira ya Kazi kwa Mtumishi wa Hospitali ya Vijibweni - Kigamboni

    Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo tunaamini yamekuwa magumu kwa muda mrefu. Changamoto...
  20. A

    DOKEZO Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa

    Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji. Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, ambaye aliomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya fedha za makusanyo ya hospitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…