mtu mzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Si adabu kumrekodi picha za utupu mwanamke mtu mzima vile (heshima ipo wapi?)

    1. Vijana tuweni na heshima kwa watu waliotuzid umri. 2. Fikiria unamrekodi mtu mzima kama Bibi mzaa baba yako kisha unarusha mitandaoni. Heshima ipo wapi? Adabu ipo wapi?
  2. W

    Gen Z Akasirishwa na Mamake Kushika Mimba - Umeshakuwa Mtu Mzima, Ghafla Mama Yako Anakuambia Ana Mimba: Utajisikiaje?

    Video inayosambaa mitandaoni inaonyesha kijana akimwambia mama yake mjamzito kuwa hataki apate mtoto mwingine. Tukio hilo linaibua mjadala kuhusu hisia za watoto wakubwa pale wazazi wanapoamua kupata watoto wengine baada ya wao kukua. Kwa mtoto mdogo, kupata ndugu mpya kunaweza kuwa jambo la...
  3. Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  4. Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  5. Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa!! Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
  6. Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  7. Ni kwanini mwanaume anapozidi kuwa mtu mzima busara na hekima huongezeka na vise vesa......?

    Hata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...
  8. D

    Je, mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kushika ujauzito?

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  9. Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  10. Kuishi kama mtu mzima: [life skills vs gender roles]

    Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani niliyowahi kupitia field wakati naanza kazi miaka zaidi ya kumi ilopita , na kadri nilivyofikiria...
  11. Mtu mzima hachungwi, mwanakulitafuta mwanakulipata

    Jamaa alisafiri akampigia simu mke wake akamuuliza uko wapi!? Mwanamke akasema niko nyumbani. Jamaa akamwambia kama uko nyumbani kweli kaa kitandani then mwambie dada wa kazi akupige picha then unitumie WhatsApp. Mwanamke akafanya hivyo, ila alivyotuma tu na ndoa yao ikaishia hapo hapo...
  12. C

    Natafuta Mama mtu mzima kwa ajili ya malezi ya watoto, wa hiari mtu mzima

    Habari? Kama kichwa kilivyo, mimi ninafanya kazi ya kuajiriwa ,na mke wangu ni mfanyabiashara tuna watoto watano, wawili bado wadogo chini ya miaka mitano. Wengine wapo miaka 12, wapili 9 na watatu 7. Wadada wa kazi wanasumbua sana. Mama na baba walitangulia tangu nikiwa mdogo, pia mke wangu...
  13. Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi

    Unakuta mbaba mtu mzima naye anakaa heti mama mama mama msituletee ujinga na umama kwenye vitu msingi. Ulekeo wa umama mnaofanya hauna msingi wowote bali ni ujinga na upumbavu mbona mlikuwa amumuiti mama akiwa makamu wa rais. Kwahiyo mnampenda samia kweli au mnataka vyeo na rushwa ? ukiona mtu...
  14. VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  15. Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

    Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza! Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!) mi sikuwahi kumuona lakini...
  16. Natafuta MTU mzima wa kunifariji

    Moyo wangu umeumia Sana jamani Niko down Sana Natafuta faraja tu Hata pm ,email . Karibuni
  17. M

    Ni huzuni kuona watu wazima waliozaliwa kwenye familia zenye uwezo na zilizowajali wakipitia shida kwa sababu walipuuza fursa zilizokuwepo

    Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso. connection zilikuwepo za kazi...
  18. Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  19. Watanzania wenzangu hebu tujitathimini hivi Karne ya sasa ni yakushangaa nyumba ya mtu tena kwa mtu mzima? Hii ni aibu!

    Tunatia aibu kwakweli unaona kabisa mtu mzima amesoma lakini bado anashangaa nyumba za watu kwa kulalamika as if amekatazwa naye kujenga nyumba Kama hyo anayoishangaa, hebu vitu Vingine acheni viwapite. Eti oooh! Marehemu kaacha nyumba kubwa Sana, ww inakuhusu Nini? Eti oooh siasa inalipa kwani...
  20. Kumtisha Samia, ni kumtishia mtu mzima nyau!

    Huu ni ukweli mchungu ambao hata kama kuna watu hawaupendi, itabidi wauvumilie mpaka 2030! Tusimung'unye maneno, Samia urais anautataka, na amewekeza kuhakikisha anaupata! Kwenye siasa hakuna bahati mbaya! Kilichotokea kwenye mkutano mkuu, hakikuwa bahati mbaya! Ulikuwa ni mkakati uliopangwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…