CONTENT MARKETING: USITENGEZE CONTENT KWA AJILI YA KUPATA LIKES, TENGENEZA CONTENT INAYOMFANYA MTEJA ANUNUE!
Kuna wafanyabiashara wanaweka Content kila siku, wanapata likes, comments na followers, lakini mwisho wa mwezi hawana wateja wapya.
Tatizo si kwamba hawana Content. Tatizo ni kwamba...