Kijana mmoja kaskazini mwa Msumbiji ambaye alidhaniwa kuwa amefariki dunia na ambaye mazishi yake yalifanyika mwezi Novemba ametokea kijijini kwao Lindi.
Jumuiya inamtaja Eurélia Manuel Benjamim kama mtu aliyefufuka kutoka kwa wafu, lakini anasema alikuwa ameenda tu kufanya kazi katika shamba...