mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  2. TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

    Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa. Hapa GENTAMYCINE nimejikuta...
  3. Uungwana: DC Mstaafu Richard Kasesela awashukuru wananchi wa Iringa Mjini, aomba radhi

    Baada ya Utumishi wake kukoma kutokana na Mkeka mpya uliotolewa wa Wakuu wapya wa Wilaya, Mh Kasesera amewashukuru wananchi wa Iringa kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichowatumikia, ambapo pia ametumia nafasi hiyo kuwaomba radhi wale wote aliowakwaza wakati wa utekelezaji wa...
  4. Ni hatua gani mstaafu anatakiwa kufuata kama amepunjwa au amelipwa mafao chini ya kiwango anachostahili?

    Mstaafu aliyelipwa chini ya kiwango halisi anatakiwa kuchukua hatua gani ili kudai kiasi kilichobaki? Nimeuliza maana kuna ndugu yangu alilipwa kiasi asichostahili 2018 na tangu mwezi wa nne amekuwa akipokea simu kutoka kwa watu wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa hazina wakimuomba rushwa ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…