msomi

  1. Video: Peter Madeleka (Wakili msomi) aichambua hukumu ya Jaji Danstan Nduguru kwa Tundu Lissu. Ni hukumu batili...

    https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ KWA UFUPI: Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu... Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
  2. Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  3. Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
  4. Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

    Yaani unakuta kiongozi ni msomi kabisa, tena anaongoza chama cha siasa au taasisi halafu eti ni mropokaji na fisadi wa mali za chama chake. Hii imekaaje my friends, ladies and gentlemen? Je, mtu wa aina hii anakua bado hajajikimboa kifikra au elimu aliyonayo ni ya kukiuka sharia, kuomba...
  5. Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
  6. wewe msomi usikae nyumba isiyo na fensi

    yes nyumba Bilal fensi ni risk kubwa kubadili ukatae ukweli uko hivyo
  7. Msomi wa Heshima ambaye si Msomi, anapowaweka ndani Wasomi

    PROFESA ASHANGAA SERIKALI YA TANZANIA KUWAKAMATA WAHADHIRI WA VYUO VIKUU! Baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata kwa tuhuma za kuchochea maandamano wahadhiri watatu na kuwanyima dhamana, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam enzi za utawala wa Julius Nyerere, Prof. Joseph Mbele amedai kuwa...
  8. Msomi mwenye shahada ya uamivu achizika kisa kufiwa na mke

    Kwa wanao pitia Barbara ya king'ara hii sura si ngeni, mwamba anaitwa Alex, huyu mwamba inasemekana baada ya mkewe kupoteza maisha jamaa aliishia kuchizi kutokana na mawazo. Haija julikana kama Kuna kitu kipo NYUMA ila tatizo lilianza kutokana na msongo wa mawazo kisa mkewe. Ni msomi wa...
  9. Mwigulu: Vijana watumie vyeti vya chuo kama dhamana ya mikopo baada ya kuhitimu

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, ameweka wazi mpango mpya wa Serikali unaolenga kutatua changamoto ya mitaji kwa vijana wanaohitimu masomo yao nchini. Akizungumzia hali ya upatikanaji wa mikopo, Nchemba amebainisha kuwa Serikali imeanza mchakato wa kuangalia uwezekano wa kijana kutumia cheti chake...
  10. J

    Nusu ya Agano Jipya limechakachuliwa, asema msomi wa Biblia

    Mwanaume dhaifu ameketi akiwa amefungwa kwa minyororo ndani ya seli ya gereza yenye unyevunyevu na baridi. Amewahi kuponyoka kifo hapo awali, lakini sasa anatambua kwamba kuuawa kwake kunakaribia. “Ninakwisha kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, na wakati wa kuondoka kwangu umefika,” anasema...
  11. BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  12. J

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    KABURI LA MSOMI. Karibuni sana wapenzi wa simulizi. Leo naitambulisha kwenu simulizi hii tamu iendayo kwa jina la KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi, maumivu, wivu, usaliti, chuki, mauaji na mikasa mingi ya...
  13. Wakili Peter Madeleka: Siku Mange Kimambi akimamatwa, akashitakiwa na kutiwa hatiani kwa kesi hii, basi hiyo siku ndiyo YESU atarudi rasmi duniani😀

    Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀 Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia) #D9 #SAMIAMUSTGO
  14. Msomi yoyote chawa alipoteza muda shuleni

    Usominwa kweli siyo vyeti wala shahada bali kujitambua na kuwatambua na kuwaelimisha wengine. Yeyote aitwaye msomi na akakubali uchawa si msomi wala mjinga bali mpumbavu na zwazwa wa kunuka. Tumzomee popote tumuonapo hata kumpiga mawe., Naanza na maprofedheha Paramagimbi Kabundi na Kitwila...
  15. H

    GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  16. MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  17. Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  18. Msomi usikate tamaa – badilika, usibadilishwe

    Wasomi wengi wameishia kuwa na huzuni ya ndani, hali ya kisaikolojia inayoitwa existential frustration, kwa sababu waliaminishwa kuwa vyeti ni tiketi ya maisha bora. Ukweli ni tofauti – dunia ya sasa haiangalii tu cheti, bali uwezo wako wa kutatua matatizo na kuleta thamani. Elimu uliyonayo ni...
  19. W

    Bro to bro advice, Usimgeuze mke kuwa kitu alichokuwa sio, Kama ulitaka msomi, mfanyabiashara, mwanasiasa, ungemtafuta mwenye sifa hizo toka mwanzo

    Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections umpeleke chuoni kuongeza elimu, kumfungulia duka kubwa, kumuingiza kwenye siasa, n.k. hatakuwa tena...
  20. Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

    Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…