msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. Maamuzi unayofanya leo ndiyo yanayojenga msingi wa maisha yako ya kesho/future.

    Kila hatua ndogo unayochukua sasa ina matokeo makubwa baadaye, iwe ni katika elimu, kazi, fedha, au mahusiano achana na mambo ya destiny na fate Usidharau steps zako sasa keep moving, focus Maamuzi yako ya sasa ndio yataamua uwe wapi baada ya miaka 5,10 au 20 kwenye maisha hakuna shortcut...
  2. SHERIA na SAIKOLOJIA YAWE MASOMO YA LAZIMA KUANZIA SHLE YA MSINGI,.

    Somo la uraia lifutwe,na somo la sati za kazi ifutwe kwa shule za msingi kisha watoto wasome sheria kuanzia angalau darasa la 5. Sekondari pia Uraia liondolewe ,SHERIA NA SAIKOLOJIA yawe masomo ya lazima kusoma. Jamaa ina rundo la watu wasiojua haki zao za msingi na hawajui ni kwa nmna gani...
  3. Kuna jambo la msingi sana hatulizungumzii lililofanywa na Majaji kuhusiana na hukumu ya Lissu ya walichoita kosa la uchochezi

    Wengi tumeshangazwa, tumekasirishwa na kuchukizwa na hukumu ya kesi ya Tundu Lissu kwa kile kitendo cha mahakama kuibua walichokiita kosa dogo la uchochezi katika mashtaka ya Uhaini. Yameibuka majadiliano mengi kuhusiana na uhalali wa hukumu hiyo, wengi wakisema hakuna koso dogo katika mashtaka...
  4. A

    KERO Shule ya Msingi Itigi matokeo si mazuri na kuna changamoto ya ufundishaji kwa Walimu

    Kuna Shule ya Msingi Itigi Mjini H/W ya Itigi Shule imekuwa haifundishi kabisa, imekuwa ya Kisiasa, watoto wanaenda shule, walimu hawapo hasa kuanzia chekechea mpaka darasa la saba. Pia, kuna mwalimu mmoja amekuwa kikwazo kwa maendeleo ya shule hiyo anatumia shule hiyo kwa maslahi ya kisiasa...
  5. A

    KERO Changamoto ya Mifumo mibovu ya usajili na upangaji wa malazi kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi

    Mifumo ya kupokea na kusajili wanafunzi wapya pamoja na kugawa malazi katika Chuo Kikuu cha Ardhi inaonekana kuwa na changamoto kubwa za kiutendaji, zinazosababisha foleni zisizo za lazima, usumbufu na mazingira yanayoweza kuchochea upendeleo. Kwa mfano, utoaji wa namba za usajili (Registration...
  6. U

    Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Narejelea Waraka wa Wizara ya Elimu Na. 3 wa mwaka 2026, uliotolewa Oktoba 2, 2026, unaoelekeza kuwa shule za awali, msingi na sekondari zifungwe Novemba 13, 2026, kwa lengo la kulinda usalama wa wanafunzi, walimu na wafanyakazi. Hata hivyo, inashangaza kuona Shule ya Carmelite ikipanga...
  7. A

    KERO Nimeomba kusoma masomo ya jioni CBE lakini ratiba imetoka kwa kufanya masomo full time, changamoto ni nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi. Hata...
  8. Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

    Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu. Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena. Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how...
  9. Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  10. Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  11. Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  12. Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  13. wewe na mpenzi wako mna muda gani kwenye mahusiano? nini kinawazuia kufunga Ndoa? je kukaa muda mrefu kwenye mahusiano ndo msingi wa ndoa imara?

    nmekuja kugundua mahusiano ni magumu sana huku kwa ground aisee. pamoja na kuwa ni magumu ila kuna couples huku kwa ground zipo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7 wengine mpaka 10. nina rafiki yangu mmoja yupo kwenye mahusiano na mpenzi wake mwaka wa 7 huu kila nikimuuliza mahari tunapeleka...
  14. K

    Mtego wa Algoriti na Shauku ya Umma: Kwa Nini Maudhui ya "Machawa" Yanasonga Mbele Kuliko Mada za Msingi?

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
  15. Je, wazazi wetu walituletea urithi wa umaskini, au walitupa msingi ambao hatujajua kuutumia?

    Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu. Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa kupata mali nyingi kwa sababu ya kipato kidogo, majukumu makubwa au changamoto za maisha. Tunapokuwa...
  16. Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi

    Mkurugenzi Kondoa apinga upotoshaji kuhusu miundombinu shule ya msingi Hurumbi Na MWANDISHI WETU, KONDOA MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Said Majaliwa, amepinga taarifa iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa chombo cha habari cha Mwanahabari, ikidai kuwa Shule ya Msingi...
  17. Plot4Sale VIWANJA KILUVYA MADUKANI JIRANI NA SHULE YA MSINGI TONDORONI

    MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI! 📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye) 🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni 🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road 📐 Ukubwa: Mita 20 × 20 💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja ✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa ✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
  18. Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  19. Deus Sangu ashiriki Mkutano wa Ahmadiyya, asema “Amani na uvumilivu ni msingi mkuu wa utekelezaji wa Dira ya 2050”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Clement Sangu ameipongeza Jumuiya ya Ahmadiyya Tanzania kwa kuandaa Mkutano Mkuu (Jalsa Salana) wa 55 wa Mwaka 2026, huku akisisitiza umuhimu wa amani, upendo na mshikamano nchini. Waziri Sangu ambaye alimwakilisha Waziri...
  20. Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…