msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Huruma za Watanzania juu ya MAKONDA na MSIGWA ndiyo zinazotuumiza leo na zitaendelea kutuumiza sana, tuache huruma za kijinga

    Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana. Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi. Mama alivyoingia tu akafanya Uteuzi wa Zuhura Yunus kua Msemaji wa Serikali.. Unakumbuka watanzanoa...
  2. M

    Martin Masese: Gerson Msigwa atueleze kwanini anatumia chaneli za mabebru kutazama kombe la dunia na kutuachia TBC1 yenye ubora duni

    GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
  3. Ukweli ni huu Mwaipopo yupo chini ya serikali ya CCM na anaye msimamia ni msemaji wa serikali Msigwa

    Msemaji wa serikali baada ya kuona kama kawa kituko kwenye jamii. Kaamua kuruhusu Mwaipopo kuwa badala ya ili wasionekana kuwa wanafikisha maelezo yao. Ukifatilia kwa umakini matamshi anayoongea Mwaipopo na ukirudi kwa Msigwa unaona kama script ni Msigwa jinsi ya kuongea na kutishia watu.
  4. Rais na Waziri Mkuu mnaposema Oktoba 29 wananchi walikuwa na silaha za moto mbona Msigwa hajawahi kutolea ufafanuzi? Ila la BBC

    Msemaji wa Serikali analalamika kuwa documentary iliyotolewa na BBC imesikiliza upande mmoja. Sasa najiuliza je Serikali yake inayotoa matamko kuwa wanaharakati magaidi, wataka haki ni wachochea uvunjifu wa amani na porojo zengine mbona msigwa ajawahi kusema haya. Soma pia Serikali: Makala ya...
  5. Ila Msigwa Sasa Documentary ya BBC kumuhusu Lissu na Maisha yake , nayo unaitolea Ufafanuzi ? Uwe unatumia Akili

    HIi Documentary kihalisia imezungumzia Lissu na Madhira yake Kwan ni uongo Lissu amekua anaharasiwa na Polisi? Ni uongo Lissu amekua hakamatwi? Ni uongo Lissu amekua anafunguliwa Kesi? Ni uongo Lissu hakupigwa Risasi ili auwawe?. Ni uongo Lissu amepewa Kesi ya Uhaini? Ni uongo mpaka sasa Yuko...
  6. M

    Baada ya makapi kutoka CCM kurudi Chadema, tayari Mipasuko ndani ya Chadema imeanza, kina Msigwa wachunguzwe!

    Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema? Chadema ni chama Imara sana, wananchi...
  7. Msigwa: Nilipokuwa CCM, nilikuwa napata taabu kwa sababu inatakiwa niseme uongo

    Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu! ========== Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amefunguka sababu zilizomfanya kukimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miezi michache iliyopita, akidai kuwa...
  8. R

    Mtàndao wa X umefungiwa na serikali, sasa akina Msigwa, polisi and thir cronies, wanaingiaje ku post Taarifa zao?

    Wanafungua kwa muda na ku post issues zao...... but this is not practical maana watafungua na kufungua mara ngapi kwa siku? Au Wanatumià VPN? Sasa kama wanatumia VPN, si na wanachi watafanya hivyo hivyo! Sasa kufunga kunasaidia nini?
  9. Mchungaji Msigwa: Tanzania kila kitu kimepangalanyuka, imekuwa ngumu kutofautisha CCM, Serikali na dola

    Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba...
  10. Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  11. Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  12. M

    Je ufafanuzi huu wa Msigwa ni sahihi?

    Anasema Bajeti ni sh trilioni 62.3, na bajeti inajitegemea kwa mapato yote ya ndani kwa 74.2% sawa na sh trilioni 46.24, utata ni pale anaposisitiza kuwa tutakopa sh bilioni 500 tu. Je sh trilioni 15 zitapatikana wapi? Wataalam wa bajeti tafadhali mtueleweshe hapa.
  13. Gerson Msigwa anashiriki kukandamiza vijana kwenye umasikini, ujinga

    Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
  14. Q

    Msigwa ajibiwa, The greatest risk is not the loss of €156 million. Nor is visa restrictions. The greatest risk is a change in Tanzania perception

    Kama kuna mtu aliye karibu na Greyson Msigwa amfikishie huu ujumbe. ==================== By Amani K. Mrope | Washington Bureau. June 19, 2026. The Issue Is Not Money. It Is Tanzania Being Written Into the Official Record. There are times when a country loses money. And there are times when a...
  15. Q

    Gershon Msigwa ajitetea, niliposema 'ukivujisha nyaraka za serikali utaokotwa' nilikuwa natekeleza wajibu wangu

    Kwenye akaunti yake ya X Msigwa ameandika, Ndugu zangu Waandishi wa Habari mnaonipigia simu nyingi na kunitumia ujumbe mkiniuliza kuhusu jambo hili, ni hivi; Nilikuwa nikitekeleza wajibu wangu na niliyoyazungumza/ niliyoyakumbusha ni kwa mujibu wa Sheria ya Usalama wa Taifa, Sheria ya Utumishi...
  16. Baraka Kimata: Msigwa si wa kuaminiwa ni mwanasiasa maslahi

    https://www.youtube.com/watch?si=RXfE1UWd28J43tmx&v=p9DSYMQUl8Q&feature=youtu.be NA MATUKIO DAIMA MEDIA, IRINGA Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Baraka Kimata ametoa maoni yake kuhusu mwenendo wa siasa nchini, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji wa viongozi, uchambuzi wa kina wa misimamo ya...
  17. M

    Mchungaji Peter Msigwa awaomba radhi Wanachadema wa Iringa, awaita mbele wamchunia

    https://youtu.be/WIWGa4ipDm8?si=oSKBMppPA8bckwGA Kwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini Mch. Peter Saimon Msigwa...
  18. John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  19. Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  20. Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…