msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Magufuli kwa ukali: " Wewe RM yaani unazidiwa kuamua na mwandishi wa habari Msigwa, kweli?!

    Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ. Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC. Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
  2. R

    Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  3. TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  4. Msigwa: Hakuna Wanyama wanaosafirishwa nje

    Watanzania wametakiwa kupuuza taarifa zinazosambazwa mitandaoni kuwa kuna wanyama wanaosafirishwa na ndege zinazotua katika hifadhi za wanyama. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Januari 15 jijini Dodoma akizungumza na waandishi wa habari, ikiwa ni muendelezo...
  5. Ndege 3 za Air Tanzania (Air Bus) zimepata hitilafu ya kiufundi, haziruki

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke. Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
  6. Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

    Nimesikia Msigwa akizungumza Wasafi FM ambapo amewahakikishia watanzania kuwa rasilimali zao zipo salama, hakuna wanyama wanaochukuliwa. Hata hivyo ametaka wenye ushahidi wa rasimali kutoroshwa wapeleke. Gerson Msigwa amewataka watanzania kupuuzia uzushi unaoendelea mitandaoni kutoka kwa watu...
  7. Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  8. K

    CHADEMA: Awamu ya Sita imeimarisha Uhuru wa Kujieleza nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
  9. Gerson Msigwa kubali makosa. Tulipaswa kuwa na Aerial Cranes hata nne. Mnanunua mashangingi mnasahau vifaa vya kuokolea kwenye majanga

    Unapiga porojo kuwa tuna helikopta za usaifiri tu. Kwani nini msiwe na kunyanyulia mizigo? Pesa zipo lakini mnaelekeza kwenye mashangingi na ufisadi tu. Kama tungekuwa na aerial cranes hata nne. Moja kanda ya ziwa, nyingine kusini, kaskazini na pwani ndungu zetu tungewaokoa.
  10. Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  11. Gerson Msigwa na Precision Air

    Msemaji wa Serikali - Kama cheo kinavyoonyesha uzito wake. Bora leo usingeisemea tu hii serikali ukalala au ukaenda zako Barra Beach kula prawns. Umeshindwa kujisikiliza mwenyewe kwanza chumbani kwenye kioo na kufanyia majaribio hiki ulichokisema kwa wananchi juu ya ajali kubwa kama hii na...
  12. Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

    We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya . Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
  13. Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  14. S

    Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

    Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
  15. Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  16. Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  17. Gerson Msigwa punguza utoto

    Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba. Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu. Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
  18. Peter Msigwa ni mchungaji wa kanisa gani?

    Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake. Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga kijembe kwa kumwita mchungaji wa nguruwe😂 siku hiyo Speaker Makinda na naibu wake Ndugai walikuwepo na...
  19. M

    Kama wamasai sio wazawa, mbona Wahehe walitokea Zimbabwe. Huyu Msigwa hana utu na mbaguzi

    Huwezi kubagua watanzania wenzetu kwa historia ya miaka 2000 iliyopita. Huyu ni mbumbu kabisa. Mbona Wahehe walitokea huko kusini mwa Afrika na walevi kama watu wa Zimbabwe mbona hatuwabagui
  20. J

    Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…