msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata product key ya Window 8.1 Pro

    Wadau habari zenu, Naomba msaada wenu wa kupata product key ya Window 8.1 Pro tafadhali
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta fundi wa Computer

    Natafuta fundi aliyeko Dar Upanga au Kariakoo. Nina computer yangu laptop Acer inawaka vizuri ila hai display ni pointer tu naiona ila vingine sioni. Nili nunua anti virus Kaspersky ndio problem ilipo anza
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Software yenye uwezo wa kufuta ma-file yaliyojirudia

    Je, kuna software yoyote nzuri ambayo inaweza kudelete mafile yaliyojirudia kwenye computer? Kama ipo naomba msaada wenu!
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalamu wa Magari Emergency tafadhali

    Wakuu mambo vipi? Natumia BMW E90 2007 (3 Series) sasa nikiwa mjini uwa najaza unleaded ya Total au Puma. Sasa nipo njiani na nilipo sahivi usiku huu hakuna kituo cha karibu cha Puma wala Total. Je, nijaze Petroli yoyote kwa leo tu hakuna tatizo linaloweza jitokeza? Nakutana na pump za...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Chuo

    Salamii Wana jukwaa kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali Kuna mdogo wangu kahitimu masomo yake ya kidato Cha sita mwaka Jana 2019/2020 kwa mchepuo wa CBG nakupata matokeo haya Chemistry: D Biology: D Geography: D Basic Applied Mathematics: D General study na Ali post pone mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya Kusolve/kufix "URL is on Google, but has issues"

    Habarini wanajukwaa, Mimi ni blogger na nahitaji Msaada wenu mablogers wenzang wenye ujuz zaidi na Google search console. Ninapokea ujumbe unaosema URL is on Google, but has issues Kila ninapofanya URL inspection. Na toka tatzo hili lianze traffic ya blog yangu imeshuka kwa Zaid ya asilimia 50%...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

    Dear all Have registered for a new paypal account using the CRDB debit card and that my account was charged by paypal US$ 1.95 and the code sent to the bank. On requesting the bank statement I do not get the paypal code but the transaction code through my bank. How one get the PAYPAL CODE...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada NACTE kufungua dirisha la usajiri

    Jamani naomba mwenye kujua dirisha na kuomba vyuo NACTE kwa intake ya October linafunguliwa lini anijuze. Au mambo ya kufungua dirisha yaliisha?
  9. JamiiForums Tanzania Nime-overdose Msaada wakuu

    Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni ushauri nifanyeje kuepuka madhara yatakayotokea
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NECTA

    Wapendwa samahani habari za asubuhi, habari za muda huu? Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Mdogo wangu alifanya mtihani wa Kidato cha Nne mwaka 2016 lakini kwa bahati mbaya alipata credit moja na D moja na mwaka jana ikabid arudie yale masomo alopata F kwa bahat nzur kapata credit...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kioo cha PC aina ya ACER kimevujia wino. Naweza kusafishiwa kikawa safi au hadi niweke kingine?

    Habari zenu wakuu kioo changu cha PC kimevujia wino naweza kusafishiwa kioo kikawa safi au kunaulazima wa kununua kingine, msaada tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Mashirika ya ndege yamepokea dola bilioni 123 kama msaada wakati ya mzozo wa COVID-19

    Serikali mbalimbali duniani zimetoa dola bilioni 123 kuyasaidia mashirika yao ya ndege yaliyoathirika na janga la virusi vya corona, shirika la kimataifa la usafiri wa anga IATA limeripoti jana. Wakati asilimia 45 ya fedha hizo zilikwenda katika ruzuku ya mishahara, gharama za mitaji pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kuipata hii Novel

    Wasomi wa zamani naomba msaada wa namna ya kuipata Novel inayokwenda kwa jina la "NEW LIFE IN KEREFASO"
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada WaKuu, Naomba ambae anafahamu app yoyote kuangalizia mechi/games zozote online anisaidie au website

    Kwemaa ,wakuu .. Naomba msaada nahitaji application au website za kuangalizia mechi online, maana nipo sehemu ambayo hakuw uinyeshaji wa mpira, kwa week kadhaa nmekuwa namiss bundesliga Ila leo nimepania nisikose game Uzi tayari, nawasilisha
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume kulala fofofo mara tu baada ya tendo la ndoa

    Habari wana jamvi, Natumai mmeamka salama. Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?. Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nchi gani itanifaa kusoma journalism kati ya hizi?

    Naombeni ushauri, je ni nchi gani itanifaa kwenda kusoma journalism kati ya North Korea, South Korea, Holland, Canada, France, New Zealand? I want where it is possible to study while working during off class time?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa udahili wa masomo nje ya nchi

    Habari za muda Wana jukwaa, Mimi ni mwanafuzii nilie hitimu kidato Cha sita mwaka Jana lkn wakati wa udahili nikipata chuo kikuu Cha Ardhii University lakini mm ndoto zangu n kwenda kusoma nje ya nchi yaan scholarship lakin sikufanikiwa kwa mwaka jana kwa vile sikuwa najua utaratibu wake lakin...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua fedha zilizoisha muda zinapatikana wapi

    Nimekuwa nikipita maeneo kadhaa ya Dar na kuona fedha za Tanzania ambazo kwa sasa hazitumiki zikiuzwa. Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki. Sasa nimekuja kwenu wana jf mnipe taarifa wapi zinakopatikana
  19. U

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

    Habarini ,wakuu Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga.. Nimeamua nianze ujenzi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…