msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni namna gani Muhitimu wa Kidato Cha sita au Shahada yeyote anaweza kuji unga na kada za kijeshi kama Polisi na Migration

    Wana jamvi habari I za wakati huu na amini wote wazima munazidi kupambana vyema na janga la COVID19 inayo sababibishwa na kundi la VIRUS'S aina ya CORONA. Kama kichwa kinavo jieleza apoo juu msaada tafadhali ivii Ni namna gani mtu hasa kwa muhitimu wa kidato Cha sita au shahada yeyote anaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Laptop yangu inakataa kuconnect na internet

    Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows 8. Nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa jinsi ya kulitatua tatizo hili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujuzwa ofisi za NACTE zinapopatikana kwa mkoa wa Mbeya

    Natumaini mpo vizuri wakuu, Naomba kuuliza ofisi za NACTE ziko sehemu gani hapa mkoani Mbeya? Msaada please mimi ni mgeni mkoani hapa
  7. JamiiForums Tanzania FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

    Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto anaumwa kifua kilichosababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa

    Naomba msaada wa matibabu kwa mtoto anayesumbuliwa na kifua ambacho inasemekana kimesababishwa na kunywa maji machafu wakati anazaliwa, kwa sasa anaumri wa mwaka mmoja na miez 6 ameanza kusumbuliwa na kifua anashindwa hata kupumua hadi wampepelee ndo anapata nafuu. Naomba msaada kwa mwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Bima ya Afya

    Hello habari, Naomba kufahimishwa kuhusu hili. Iko hivi, nilimtengenezea Bima ya Afya mke wangu mwaka juzi. Kwa bahati mbaya maradhi yakamwondoa. Changamoto nilioipata ni kushindwa kuipata kadi ya bima ya afya baada ya umauti wake. Sasa ninajipanga kuoa tena soon nilikua nataka nitoe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, nikienda Mahakamani naweza sikilizwa?

    Mimi ni muajiriwa Serikalini. Nilikopa kwa watu wanaotoa riba alafu yeye anabaki na kadi yako ya benki mshahara ukiingia anachukua. Tulienda nao vizuri baadaye Mambo yaka ingiliana uwezekano wa kuwalipa ukawa haupo nikaanza kuwapiga chenga mshahara ukiingia Mimi natoa kwa NMB Mobile. Jamaa...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni aina ya adhabu nje ya kumchapa viboko Mtoto 'Mtukutu' wa kati ya Miaka 7 hadi 9 tu

    Nilidhani Fimbo zangu za Kiserikali / Za Wastani ambazo ni Nne ( 4 ) pekee zingekuwa ni sehemu ya Kumbadilisha Mtoto ila nimegundua ya kwamba hizo ' Bakora ' za Kiserikali hazisaidii kabisa ' Kumuadabisha ' Mtoto hivyo sasa nataka Msaada wenu wa aina ya Adhabu ' Kali ' zaidi za Kumpa Mtoto ili...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi nitapata records za ngoma za asili

    Mzuka wanajamvi Ni wapi nitapata records za ngoma za asili kwenye kanda CD na kadhalika ili nipate burudani ya kipekee nikiwa nimepumzika naendesha gari n. K hasa midundo ya Kizaramo, kimakonde na kimatumbi zinabamba balaa. Pandemic Enthusiast
  14. JamiiForums Tanzania Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

    Habari ya muda huu viongozi.. Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani. Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada: Nina udomo zege usiopimika

    Kuna binti hapa sio tu kaumbika no kakamilika idara zote kiasi kwamba hata nzi akimtulia kwenye mwili wake mi napata wivu Tatizo sio kuumbika kwake,hivyo ni vivutio vya kitalii ambavyo nataka nikavifaidi ili kuitendea haki kazi ya bwana.. Tatizo ni udomo zege umenishika dhidi yake! Nateseka...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kutumia mabox ya kuflash simu

    Wakubwa salaam Nilinunua mabox ya kuflash simu mawili piranha na volcano mwaka 2015, nilikuwa nayatumia vizuri tu bila shida,sasa leo nimepiga window upya yamegoma kutumika na website za Haya makampuni naona kumbe ziko offline kwa muda mrefu sasa. Nisaidieni nifanyeje niweze kuyaset na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Bell pepper ( pilipili hoho) kwenye soko la jumla inauzwaje?

    Niaje wakuu. Naomba kujuzwa kama kuna anae jua pilipili hoho kwenye soko la jumla inauzwaje na kwa kipimo kipi either kwa gunia kwa kilo au kwa kuuza hoho moja moja kama ilivo soko la machungwa ya jumla?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye kitabu cha Alfu lela U lela

    Je! Naweza kupata kitabu cha Alfu lela U lela mwenye nacho anaweza akanitumia kwa njia ya PDF file na kusoma kwa njia hiyo! Ambaye hajanielewa ntamwelewesha Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
  20. JamiiForums Tanzania Bongomovie kwa hali serikali kuwapa msaada ni ngumu. Nyie wenyewe hamuwezi kujisaidia kifikra

    😂😂😂 Et ndo comedy hii, Tuwaachie wakina Joti na Mpoki, Idriss sultan tafuta kazi ya kufanya comedy sio fani yako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…