msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kati ya TV Hasence na TV Boss

    Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43. NB: Don't mind about uandishi plz
  2. G

    JamiiForums Tanzania Bati za Waja General ni nzuri?

    Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...
  3. JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne wanaotamani kujiunga na fani mbalimbali za afya hii inaweza ikawa msaada kwao Disclaimer:Nimezisort fani hizi kwa "utashi wangu" wa jinsi ninavyoona demand ya fani husika kwa taifa kwa sasa na sio official sorting kutoka mamlaka yoyote ile 1.Diagnostic...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kuhusu hii mirathi

    Wakuu ipo hivi, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu. Mzee wangu alifariki miaka 3 iliyopita hivyo aliacha baadhi ya mali km nyumba 3 na mashamba, nyumba mbili zipo dodoma hizi...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

    Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
  6. JamiiForums Tanzania Pata namba zako zote za simu za zamani na ulizopoteza kupitia Facebook

    Habari wa JamiiFirums, Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya. Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu. Tafdhali tembelea kiunganishi hiki: https://m.facebook.com/mobile/facebook/contacts
  7. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari kuhusu kutotumiwa namba ya usajili

    Habari wakuu msaada una hitajika. Tafadharini Kwa mwandiko mbaya. Niliomba kazi Kwa kutumia njia ya mtandao utumishi Secretariate ya Ajira nikabahatika kuona jina langu nimeitwa kwenye interview Ila katika akanti yangu sijatumiwa namba ya interview. Tatizo nini? Je, naweza pata namba...
  8. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata maumivu makali sana. Nawakilisha. Naombeni ushauri wenu wa kitabibu Asanteni WADAU WENGINE...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye software ya VLC Media

    Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa. Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa Activation Key ya Microsoft 2016

    Habari zenu wakuu, Niko hapa kuomba msaada wa ACTIVATION KEY ya MICROSOFT OFFICE 2016 Hadi sasa Activation Keys nilizojaribu zinakataa kufanya kazi
  11. JamiiForums Tanzania Msaada natafuta dawa ya kondoa maumivu mwili mzima

    .
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata Chrome Cache File

    Habari wakuu, Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser. Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana function hii iliondolewa. Kuna njia nyingine au third-party software ya bure? Na pili je kama...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

    Hodi wanajamvi, Naomba tujuzane huu mtandao wa UDEMY ambapo unaweza kusoma masomo mbalimbali kwa malipo kidogo. Kutokana na ushamba wangu kuna jamaa angu akaniambia kupitia mtandao huu unaweza kusoma chochote na cheti ukapewa. Basi nami nikaona isiwe shida nkazama ndani.. humo nikakutana na...
  14. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

    Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

    Wapendwa Wakuu habari za mida hii, Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu koz ya International Relations and Diplomacy

    Wanajamvi, Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje? Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa siyo, Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara, Nataka niende Jumamosi...
  20. JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…