msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anayesoma Chuo cha St. Francis - Ifakara (MD)

    Karibuni kwa msaada
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kuweka Gypsum katika nyumba

    Habarini wadau, Kama mada ilivyojieleza. Naomba kujua kwa nyumba yenye sebule, dining, jiko, vyumba viwili na master. Kwa makadirio inaweza ikacost shilingi ngapi kuiweka Gypsum. Na ni Gypsam board gani nzuri na cost ni shilling ngapi? Natanguliza shukran.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa haraka wadau

    Ninayo Toyota Spacio New Model, ni cc 1490 ya mwaka 2004, ingine 1nz-fe. Kwa mwenye ujuzi naomba kujua hii gari inaingia lita ngapi za transmission fluid. Naomba msaada katika ili wadau ili nisije nikaua gear box ya gari yangu, mafundi wa mtaani wananichanganya sana aisee.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Android TV imekwama (stuck)

    Wakuu habari, Naomba msaada wenu, nina TV aina ya SOLSTAR 55" ambayo ni android. TV imeacha ku respond kwenye remote na hata kwa buttons za kawaida. Hapa ndipo iliyokwama, yaani hata kuizima na kuwasha inarudi hapo hapo. King'amuzi ninasoma bila shida. Kwenye kona kuna alama nyekundu ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya University of Iringa

    Habarini wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwa muda mrefu sasa najaribu kufanya mawasiliano bila mafanikio kwani namba zao hazipokelewi na email address haijibiwi. Kama kuna namna nyingine ya mawasiliano naomba msaada.
  6. JamiiForums Tanzania Msaada katika tatizo hili la PayPal katika kulink Kadi

    Nimepata changamoto ya kushindwa kuunganisha Kadi yangu ya Airtel Master card na Paypal. Haswa eneo la ukomo wa tarehe. Hitilafu ninazokutana nazo kama kwenye picha ifuatavyo:
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kukaanga karanga

    Hello, wakuu naomba msaada wa jinsi ya kukaanga karanga kwa ajili ya kuuza. Je, naweza tumia microwave katika kukaangia karanga au je, nitumie nini katika kukaanga karanga? Msaada tafadhali
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji Msaada :number series

    deleted
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu inazima ghafla baada ya kuchemka sana

    Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Expression of interest

    Hello everyone! Naomba msaada wa kupata sample/template ya 'expression of interest' kwa ajili ya individual consultants. Kuna sehemu nataka kupeleka maombi ya project management so wanachotaka ni expression of interest na mimi sijawai jaza hicho kitu. Hawataki application letter. Nikipata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina Diploma ya Uhasibu

    Mimi Ni binti wa miaka 26 jamani nipo mbele zenu kuomba msaada wa ajira elimu yangu diploma ya uhasibu naishi Kibaha pwani mkoa wowote nipo tayar kufanya 0628882267. Asanteni.
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA: Mabati ya 'reject' yamekufikisha wapi baada ya muda gani?

    Salaam wakuu, Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject. Kuna mtu ameshawahi kuyatumia haya mabati au anafahamu mtu aliyewahi kuyatumia na hali yake ikoje mpaka sasa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

    Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January. Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hatua za kufungua biashara

    Wakuu nitaenda haraka kwenye point Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali? Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze...
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata cheti cha CISA (certified information system auditing)/cissp/ceh

    Naombeni mzoefu na kufanya hii mitihani ya certification mfano wa iyo ya CISA /CISSP/CEH anipe mwongozo mzuri, maana nataka mwaka huu nipate iyo certification moja wapo wakuu hasa hasa iyo ya CISA, wa atakaye weza nisaidia nikapata basi nitamredishia fadhira (tutaongea) kwa kazi iyo. Gharama za...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba materials ya kujifunza electric domestic wiring/ wiring ya umeme wa nyumbani

    Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele. Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kazi za machimbo Mererani

    Habari wakuu, Naomba mwenye taarifa au uzoefu na maeneo tajwa hapo juu kwa utafutaji Kifupi nilibahatika kuajiriwa na taasisi kubwa ya kifedha hapa nchini, mshahara haukuwa mbaya, nilitaka kubadili mazingira ya kazi na kujiajiri kwenye biashara, vile isivyo bahati nilifeli. Tangu hapo...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya uzalishaji wa pombe kali

    Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie. Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji. 1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake 2. Machine zinazohitajika kuanzia hatua ya mwanzo hadi mwisho kwenye packaging. upatikanajI wa machine na bei...
  19. JamiiForums Tanzania Kitunguu kimekua msaada mkubwa katika kupambana na matatizo ya kifua na njia ya hewa

    Kizuri kula na wenzio. Wakati COVID inaanza kuenea nchi ya Iran ilipata matatizo sana. Kuna mama mmoja alisambaza video jinsi alivyotumia kitunguu kukabiliana na COVID Pamoja na matatizo ya kifua kwa u jumla. Tumia kitunguu muda wowote ule, kama unakohoa sana weka vipande vya vitunguu ndani...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada wa Application ya kutransfer text message kwenye iphone

    Nahitaji free application ya kuhamisha text msg zote kutoka iphone 7 kwenda iphone X, nimefanya kwa icloud imekubali kuhamisha picha na contact peke yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…