msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania China yaipa Ukraine msaada wa yuan milioni 10

    China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10 ======== China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6 million) of humanitarian assistance to Ukraine, Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Usiku wa kuamkia leo nimeota mchumba wangu kachelewa kurudi nyumbani akadai ameogopa kunigongea ningempiga na akaenda kulala dukani kwani aliniaga anaenda kwenye party nikamruhusu Baada ya muda panatokea maaskari na mgambo dukani wakidai wanamuulizia binti anaitwa Saada ambaye inasadikika...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    Giving is a reminder of our own blessings! Please support our friend Esteri in whatever way you can 🙏🏾🙏🏾
  5. JamiiForums Tanzania Msaada jaman

    Nimefanikiwa kuitwa kwenye usaili sekretarieti ya ajira tarehe 26 mwezi wa 3 mwaka 2022. Lakini changamoto niliyonayo ni kwamba nimepoteza kitambulisho cha utaifa na hata vitambulisho vingine pia sina. Hivyo wakuu wangu naombeni msaada wa mawazo ni hatua gani naweza kuchukua ili niweze...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

    Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha. Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua duka la Spanish tiles hapa DSM

    Salaam wadau wa ujenzi, Naomba kufahamu maduka ya Spanish tiles kwa hapa Dsm. Of course najua lililopo Victoria, Lakini ngependa kujua zaidi ili niwwze kufanya ulinganifu wa Bei,na aina tofauti tofauti ili niweze kuchagua. Pia kama Kuna mtu anafahamu zaidi kuhusu aina nyingine na ubora za tiles...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada flat TV ya LG

    Wakuu Nina TV ya LG ila picha haionyeshi vizuri, inakuwa na Blue iliyozidi kiasi haionekani vizuri,,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wenye uelewa wa haya masuala

    Habari za muda huu Naomba kuuliza kwa wetu wenye uelewa wa haya masuala Inapotokea nimeajiriwa na kampuni ya kigeni ambayo mfano ipo Uganda kisha ikafungua tawi lingine hapa Tanzania na kuendesha shughuli zake. Ikitokea kampuni ikashindwa kujiendesha baada ya muda fulani na kupelekea kufungwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau:JINSI YA CSV FILE

    Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android? Karibuni kwa michango
  12. JamiiForums Tanzania Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

    Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa. NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria tafadhali

    Nilikuwa na rafiki yangu, alikuwa ameajiriwa katika shirika moja zuri tu, katika position nzuri tu. Siku moja alimfumania mke wake na jamaa fulani chumbani kwake wamekaa kitandani wakiangalia ponografia. Paap! Mke akachoropoka, wakabaki wawili chumbani, mfumania na mfumaniwa. Ngumi zikaanza...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Uwezekano kwa kupangiwa PCM kwa matokeo haya

    Je, ukipata. Phy-D Chm-C Math-B Geo-C Uwezekano kwa kupangiwa pcm upo kwl? Plz
  15. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Dan 6:16 SUV Basi mfalme akatoa amri, nao wakamleta Danieli, wakamtupa katika tundu la simba. Mfalme akanena, akamwambia Danieli, Mungu wako unayemtumikia daima, yeye atakuponya. Luka 16:19-31 BHN “Palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua utaratibu wa kumpeleka mtu kwenye wodi ya vichaa

    Wakuu heshima kwenu, Nina ndugu yangu yupo Mwanza mjini. He is a black sheep in our family. MATENDO Na vituko anavyo vifanya tumejidhihirisha kwamba ana matatizo ya akili. Amevuta bangi Kwa Muda mrefu Sana ( Thanks God hatumii cocaine) Huko Mwanza ni Kwa Bibi kizaa mama. Nyumbani kwetu ni Dar...
  19. JamiiForums Tanzania Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba msaada wa Kivuko Kigamboni

    Mama Samia tunaomba Huruma yako Kigamboni: Kwanza naanza kukusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano WA Tanzania..., Natumai umeitikia "Kazi iendelee.." Pili nakupa pole kwa kazi ngumu ya kuongoza Tanzania, nchi yenye Mazonge ya kila rangi kila uchao, Na Tatu nakupa pongezi kwa siku hii ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…