msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

    Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada

    Umuofia kwenu, Nina kakibanda kangu huko mjini Kerege sasa wakati napiga gharama mbali mbali nikajikuta mambo yamekua mengi na mzigo (pesa inakata) na wakati huo nilikua tayari nishalipia pesa za bati kiwandani, ila gharama za mbao zikazidi. Baada ya kushauriana na fundi na kumueleza hali...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  5. JamiiForums Tanzania Msaada, mwenye levelling staff

    Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Threads zinazosimulia matukio ya kijasusi zinapatikana wapi?

    Hope wote mmeamka salama.Kwa wale wenye changamoto poleni.Mungu awe faraja kwenu. Mimi ni mpenzi sana wa kusoma historia mbalimbali hasa hasa zinazoohusu OPERATIONS ZA KIJASUSI.Saivi nipo likizo kijijini muda mwingi nautumia kujisomea mambo hayo (nashinda ndani sitaki kuzurula).Nimejikuta...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa taratibu za jinsi ya kupata visa

    Habari za muda, naombeni maelekezo ya jinsi ya kuafutatilia na kupata Visa. -Je niwe na Documents zipi? -Naweza kupata kwa kupitia online? Link ni ipi? Au ni kwenda Ubalozini? -Niwe na kiasi gani ajili ya Visa (ya mwaka tu)? Binafsi nipo mkoani, so kiujumla ningependa kujuzwa taratibu na mambo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufanya flash disk formated fat32 ibebe vitu zaidi ya gb 32

    Wakuu habari zenu, Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu. Naomba msaada jinsi ya kuvunja hiyo limitation na kufanya ibebe vitu vingi zaidi ya gb 32 bila kubadilisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  11. JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwa DSM wanauza kitimoto rosti nzuri bila kuiba? Nataka niende na shemeji yenu

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi Don Pdidy kwa heshima na t aadhima nilipenda kutoka na shemeji yenu siku ya christmass. Kwa bahati nzuri hana ghara ma shuhuli iko kwenye ngrooongroo anapenda iliostaraabika (haiibiwi). Na iliorostiwa standard. Tafadhali kwa maeneo ya dar aaepajua...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Kwa mtu aliyekatalia kutoka kwenye kiwanja baada ya usuluhishi wa baraza la ardhi la kata kuamua aondoke

    Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Wasalaam, Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
  14. JamiiForums Tanzania MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kitaalam kwa wafanyakazi wa Airtel

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Sababu ya Gari Kuwa na Vibrations Kubwa Ikifika Speed 50+

    Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa lodge nzuri hapa Kongwa

    Habari zenu wakuu, naombeni kwa wakazi na waliowahi kifika kongwa mnisaidie lodge nzuri. Budget yangu ni elf 20, ikizidi sana 25
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa nondo za maswali ya usaili nafasi ya ICT TECHNICIAN (TRA)

    Ndugu zangu nimeitwa kwenye usahili wa ICT TECHNICIAN TRA kwa wale waliowahi kufanya hebu msaada kidogo wa nondo za maswali ya ICT TECHNICIAN
  20. JamiiForums Tanzania Nashukuru nimepata Passport kwa msaada wa @imhotep

    Wakuu habari Baada ya kuweka uzi kuulizia namna ya kuingia Lusaka Zambia nilipata mawazo mengi ya kujenga na pia uzi huu ulinikutanisha na huyu member anayejiita imhotep ambaye aliniongoza kwenye mchakato mzima wa kubadili pass yangu ya zamani na kufanikisha kupatikana kwa pass mpya. Asante...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…