Kwanza kabisa mtambue kuwa mnatumia kodi za Watanzania kufanya shughuli zenu. Kwa hiyo kufanya maigizo yasiyo na kichwa wala miguu sio jambo jema.
Sakata la Mbowe kujilipa bil 8 liliwekwa wazi na wanachama waliokuwa wanakatwa hizo pesa na mpaka leo mliishia maigizo ya kuhoji wanachama bila...