Habari ya jumamosi wakuu...
Hongereni na weekend, moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda.
Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili.. wa kwanza ni ule...