mradi

  1. O

    Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  2. Pamoja na kukopa trilion 51 ndani ya miaka 5 bado mradi wa SGR Unasuasua tatizo nini?

    Mikopo yote tuliyokopa tumeshindwa kweli kumalizia kipande cha SGR mwanza Dar kweli? Tutakuza vipi uchumi kama miradi ya maendeleo inasuasua hivi?
  3. Tanga Regional Energy Hub: Mradi wa Bilioni 20 USD

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) wa mradi wa Tanga Regional Energy Hub, unaojumuisha ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) chenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 20 (zaidi ya...
  4. M

    Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za mradi wa grafiti wa Bunyu unaomilikiwa na Volt Resources, ambazo ni ML 591/2018 na ML 59

    Wizara ya Madini ya Tanzania imefuta leseni za uchimbaji za kampuni ya Volt Resources kwa mradi wake wa grafiti wa Bunyu, ambazo ni ML 591/2018 na ML 592/2018. Volt Resources (ASX: VRC) imethibitisha kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Wizara ya Madini kuhusu kufutwa kwa leseni hizo, jambo ambalo...
  5. Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  6. A

    DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  7. A

    DOKEZO Viongozi wa TANESCO, TAKUKURU, Osha, MCA wachunguze mradi wa umeme Dodoma – Kilosa, Wafanyakazi wanaonewa

    Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na mikataba ya wafanyakazi. Kero kubwa ni kwamba gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini cha...
  8. Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  9. Utekaji/kupotea watu ni mradi wa CCM?

    Huko Mbeya, kitu cha ajabu kimetokea. Uongozi wa kata/kitongoji imetumia mbinu ya kutangaza kuwaambia wananchi kuwa kuna maiti zimeokotwa ili kukusanya watu. Huu ni ushenzi kwa lugha yoyote na ndio kufilisika kwa CCM.
  10. A

    KERO Responded TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie

    Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi! Ni miaka...
  11. Naombeni Kazi ili nipate pesa. Sichagui kazi

    Ndugu zang mm ni mtu wa kazi kazi ilimradi pesa,,,,napenda kuwaomba ndugu zang wana JF kama kuna kazi yyte ya kibarua mimi nipo tayari kuifanya,,,,au Kama kuna connectio au mchongo wa kuingiza pesa mm nipo..namb zang no 0634362673
  12. Dkt. Jairy Khanga: Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) umefika katika vituo 74 Mkoani Kilimanjaro

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk. Jairy Khanga ameeleza kwa kina kuhusu utekelezwaji wa Mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) Programme katika mkoa wake. Alibainisha maeneo yaliyofikiwa, changamoto zilizojitokeza, na mikakati ya kuzikabili. Hapa kuna mambo makuu aliyozungumza: 1...
  13. Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  14. TANROADS: Ni kweli Mkandarasi wa Mradi wa Mwendokasi Mwenge - Tegeta anasuasua, Serikali imechukua hatua za Kimkataba

    Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi? UFAFANUZI WA TANROADS: Serikali kupitia TANROADS inatambua...
  15. "Omba omba" na WAsoha Vioo vya Magari wa Dar ni Mradi wa "wakubwa?"

    Omba omba wengi tiulizoea wakitoka mikoa ya Dodoma. na Singida , sasa wanatoka Mwanza na mikoa mingine kasoro Kilimanjaro na Arusha, yaani Hakuna Mchaga omba omba! WAOSHA MAGARI: Hawa watu wanasimama kwenye mata na foleni, pale morroco -kinondoni, hata liwe gari la wanaojulikana ama wasio...
  16. D

    Habari njema kibaha! Mradi wa kisasa majitaka mbioni kukamilika

    Ujenzi wa mtambo wa kisasa wa kuchakata majitaka katika eneo la Mitamba, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, umefikia asilimia 50 ya utekelezaji wake huku lengo likiwa ni kuimarisha usafi wa mazingira kwa wananchi. Mradi huo unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
  17. A

    KERO Ajira za Watanzania katika Mradi wa EACOP ziangaliwe kwa karibu na Serikali

    Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania. Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
  18. Makala ya Spearhead juu ya OCT 29: Ule ni Mradi?

    Habari wakuu? Nimejlitazama ile makala. Kinachoelezwa mule ni Uzushi na Upotoshaji Mkubwa ambao, ukiiutamza huoni Professionalism ya Journalism. Je, ule ni Mradi? Cc: Pascal Mayalla
  19. A

    Mbona uzalishaji umeme wa Julius Nyerere hatuoni umuhimu wake?

    Huu mradi wa uzalishaji umeme wa julius nyerere ambao ni mkubwa kuliko mradi wowote africa mashariki hatuuoni kabisa umhimu wake sisi kama watanganyika. Magufuli alisema kabisa mradi ukikamilika bei ya umeme ishuke chini lakini imekuwa kinyume chake yaani imepanda.kwa sasa uniti za umeme...
  20. Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati

    ‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…