Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
=======
MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi...