mpenzi

  1. Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
  2. Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?

    Baada ya hayo sasa tunarudi katika mada yetu ya leo, nazungumzia juu ya tabia za baadhi ya watu walio katika uhusiano kupenda kuwapiga 'mizinga' sana wenzi wao. Tabia hii ipo zaidi kwa upande wa wanawake, ingawa siku hizi hata wanaume nao wameingia katika mkumbo huu. Siyo ajabu kumsikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…