moyo

Dambisa Felicia Moyo (born (1969-02-02)2 February 1969) is a Zambian-born economist and author who analyzes the macroeconomy and global affairs. She currently serves on the boards of Barclays Bank, the financial services group, Seagate Technology, Chevron Corporation, the global miner Barrick Gold, and the 3M Company. She worked for two years at the World Bank and eight years at Goldman Sachs before becoming an author and international public speaker. She has written four New York Times bestselling books: Dead Aid: Why Aid Is Not Working and How There Is a Better Way for Africa (2009), How the West Was Lost: Fifty Years of Economic Folly – And the Stark Choices that Lie Ahead (2011), Winner Take All: China's Race for Resources and What It Means for the World (2012), and the most recent Edge of Chaos: Why Democracy Is Failing to Deliver Economic Growth – and How to Fix It (2018). She holds a bachelor's degree in chemistry and an MBA from American University, an MPA from the Harvard Kennedy School, and a DPhil in economics from the University of Oxford.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chandika: Watoto 3,000 hukosa matibabu ya moyo kwa mwaka

    Imebainika kuwa zaidi ya watoto 3,000 nchini hukosa matibabu ya moyo kila mwaka. Kutokana na hali hiyo, madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka nchini Kuwait wameweka kambi ya wiki moja katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa jijini hapa, kwa ajili ya matibabu...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ukiyafanya utajikuta katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni

    Leo natamani kukuambia mambo ambayo angalau ukiyafanya kwa kujua au kutojua utajikuta ukiwa katika hali ambayo ukiwaangalia wanaokuzunguka utajiona una ahueni. Sitamani sana kukutia moyo au kukususimua hisia ila kuifunua asili mbele yako. Nadiriki kusema bayana kuwa haya yote ninayoyasema...
  3. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Lissu yatakuwa yamemvunja moyo sana Lema

    Kama Lissu aliyekaa nje muda mrefu, Makamu Mwenyekiti, amewahi kugombea Urais, angalau ana elimu kiasi ya Sheria nk, amepata mapokezi ya wastani vipi kuhusu Lema na Wenje? Nashauri kamati ya mapokezi ijaribu kutumia njia nyingine kutuepusha na aibu sisi BAVICHA iliyoko mbele yetu. Msigwa na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalum ya kutiana moyo na ushauri wa Kisaikolojia

    Hii thread ni maalumu kwa ajili ya kutiana moyo kupeana ushauri mbalimbali wa kisaikolojia, sosholojia, falsafa nk. Una jambo lolote kutoka chanzo chochote la kutusaidia wana JF unakaribishwa.
  5. JamiiForums Tanzania Faida 13 za kula Machungwa

    Inawezekana pia hata kwa wale wanaokula, japo kidogo, hula kama kiburudisho tu bila kujua faida zake mwilini. Katika makala ya leo nitakujuza faida 13 unazoweza kuzipata unapokula chungwa, ambalo limesheheni virutubisho kibao. Kumbuka kuwa hata chungwa moja tu ukila lina kidhi yale mahitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Mwaka fulani nikiwa Dodoma nikashikwa na nyege kali kutokana na baridi kali ya June. Nikauchek mchepuko unaojielewa ukabana. Nikachek marafiki wapenda pombe ili niwanyweshe niwakabili kimasihara, sikufanikiwa. Mpaka kufikia saa 4 jitihada zikagonga mwamba. Nikakumbuka uzi wa Telegram JF...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaingia 2023 Watanzania wenzangu tuzidi kujipa moyo Mungu yupo

    Heri ya mwaka mpya 2023. Ndugu zangu watanzania tuzidi kujipa moyo Mungu yupo kutufuta machozi ktk kila nyakati. Tupunguze manung'uniko na lawama ili Mungu afanye kazi yake. Hakuna chama wala mtu anaweza sema yeye ndio mwenye hati miliki ya hili Taifa ila kila mtu ana haki sawa ya utanzania...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huna pesa kila message ikiingia moyo unadunda

    Wasalamu, mwanaume kama huna pesa huna tofauti na gari isiyo na mafuta. Mwanaume ndie ATM ya familia. Yaani ukiona tu message yeyeto tu imeingia kwenye simu kabla ya kufungua tu simu uisome mawazo elf 10 yashakujaa kichwani, unawaza uenda ni message ya mwenye duka,marejesho ya mkopo,kodi...
  9. JamiiForums Tanzania JKCI: Wenye shida Moyo 60% hufika Hospitali wakiwa wamechelewa

    Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imesema asilimia 60 ya watu wanaowapokea wanakuwa wamefikia hatua mbaya ya magonjwa ya moyo, kutokana na kuishi muda mrefu pasipo kutambua hali zao, hivyo kujikuta wakilazimika kutumia gharama kubwa zaidi kwenye matibabu, ambazo zingeweza kupungua...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi wapumzisheni watoto wenu. Ngoma hii ni ngumu, wapeni moyo

    WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO. Anaandika, Robert Heriel Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe. Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

    Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

    Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule. Naombeni...
  13. JamiiForums Tanzania Moyo wa Mwanadamu

    .
  14. L

    JamiiForums Tanzania Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

    Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

    Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mna moyo sana, mnawezaje?

    Unakutana na mtu, wewe tu ndani ya nusu saa ushamchoka. Ni ana gubu, mbishi + mgumu kuelewa. Lakini anaishi na mke na maisha yanaenda. Ile harufu ya sigara kwa kweli haivumiliki lakini mwanamke analala naye na kuamka naye. Mwingine muda wote kalewa chakali wa kubeba na tolori + kujikojolea...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana

    Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano. Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
  19. F

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa ana moyo halisi wa Mwalimu, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli

    Leo hatunao tena Hayati Mwalimu Nyerere, Hayati Sokoine na Hayati Magufuli kimwili lakini nawahakikishieni bado wanaishi nasi na sehemu za roho zao zipo kwa mtumishi wao Majaliwa. Mwaka 2008 aliyekuwa waziri mkuu na kujiuzuru kwa sababu ya Richmond alituambia tatizo ni UWAZIRI MKUU. kwa kipindi...
  20. JamiiForums Tanzania Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

    Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…