movies

  1. JamiiForums Tanzania Movies mbili zenye visa vitamu

    BEFORE I GO TO SLEEP. Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua. Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani. Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
  2. JamiiForums Tanzania BLUMHOUSE - Wakali wa movies za kutisha duniani

    Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru mno kwa hili. Hizi hapa ni baadhi ya kazi zao, ukipata muda basi jikonge na roho yako. 1. HAPPY...
  3. JamiiForums Tanzania Unazikumbuka hizi movies? Ulikuwa wapi?

    1. BABY'S DAY OUT Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake. Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Njia bora kabisa ya kukijua kingereza ni kuangalia movies zenye subtitles

    Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
  6. JamiiForums Tanzania Greatest Monologue | Hotuba | Risala Bora katika Filamu

    Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k. Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech...
  7. JamiiForums Tanzania Filamu Zilizotabiri ‘Future of Humanity’ kwa Usahihi

    "Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wa Horror Movies: Trauma 2017

    Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017. Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata. Bwana si wakavamiwa na mtu na baba ake, wakiwa na siraha. Wakarape, piga brutally, hadi wanakula nyama zao wakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  10. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Haya wapenzi wa Movies kali, Kura yako inaenda wapi hapa?
  11. JamiiForums Tanzania SWAT Team Movies/Seasonal Movies

    1. S.W.A.T.: Under Siege (2017) 2. 24 (2001–2010) 3. MI-5 (2002–2011) 4. The Shield (2002–2008) 5. The Wire (2002–2008) 6. S.W.A.T.: Firefight (2011) 7. S.W.A.T. (2017–2024) 8. Hawaii Five-0 (2010–2020) 9. Law & Order: Criminal Intent (2001–2011) 10. CSI: Crime Scene Investigation (2000–2015)...
  12. JamiiForums Tanzania 2024 Upcoming movies

    1. Kraven the Hunter 2. Deadpool 3 3. Gladiator 2 4. The Lord of the Rings: The War of the Rohirrim 5. Godzilla x Kong: The New Empire 6. Dune: Part Two 7. Madame Web 8.Joker: Folie à Deux 9. Furiosa: A Mad Max Saga 10. Sonic the Hedgehog 3 11.Kingdom of the Planet of the Apes 12. Untitled...
  13. JamiiForums Tanzania Serial Killer Movies

    1. Child 44 2. Happy Death Day 2U 3. Venom:Let There be Carnage 4. The Collector 5. Righteous Kill 6. Child's Play 7. Luther:The Fallen Sun 8. The Girl with Dragon Tattoo 9. Summer of 84 10. Hot Fuzz 11. Red Dragon 12. We Summon the Darkness 13. The Bone Collector 14. Scary Movie 15. Scream 16...
  14. JamiiForums Tanzania Thriller Movies

    1. Animal (2023) 2. The Hunger Games: The Ballad of Songbirds & Snakes (2023) 3. Salaar (2023) 4. The Creator (2023) 5. Violent Night (2022) 6. Silent Night (2023) 7. The Hunger Games (2012) 8. The Killer (2023) 9. Mission: Impossible - Dead Reckoning Part One (2023) 10. The Batman (2022) 11...
  15. JamiiForums Tanzania Attack on Embassy Movies

    1. 13 Hours: The Secret Soldiers of Benghazi (2016) 2. From Paris with Love (2010) 3. 6 Days (2017) 4. Escape from Mogadishu (2021) 5. Argo (2012) 6. 12 Strong (2018) 7. The Doorman (2020) 8. Countdown (2016) 9. Survivor (2015) 10. The Ambassador to Bern (2014) 11. The Founding of a Republic...
  16. JamiiForums Tanzania Afghanistan War Movies

    1. Brothers 2. Lone Survivor 3. The Outpost 4. Zero Dark Thirty 5. Hyena Road 6. Combat Obscura 7. The Covenant 8. Armadillo 9. Red Sands 10. Lions For Lambs 11. The Old Guard 12. Charlie Wilson's War 13. The Objective 14. War Dogs 15. 12 Strong 16. American Sniper 17. The Hurt Locker 18...
  17. JamiiForums Tanzania Nitajie Comedy Movies 10 ambazo kwako ni bora zaidi na lazima ukenue ukiwa unaingalia

    Zangu ni 1: Dumb and Dumber 1 and 2 2: Anchorman 1 and 2 3: Ace Ventura 1 and 2 4: Superbad 5: Stepbrothers 6: Scary Movie 3 na 4 7: Naked Gun zote 8: Tropical Thunder 9:Blended 10: Friday
  18. JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Crime Movies. Ebu tazama hizi psychological crime movies. Zinafikirisha vibaya mno

    1: Seven Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti. 2: American Psycho Jamaa anaonekana mtu poa sana na mwenye mafanikio ila moyoni anajaribu kuficha roho yake mbaya ya ubinafsi then baadae...
  19. JamiiForums Tanzania Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless. Zangu ni: 1: Predator 2: Rambo zote 3: Mission impossible zote 4: Sicario part 1 5: Batman: "Batman...
  20. JamiiForums Tanzania App au website ya kudownload hd movies

    Naomba mnisaidie app au website ambayo naweza kupakua hd movies kwenye simu ya android
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…