movies

  1. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  2. JamiiForums Tanzania Movies mpya kali sana!!

    Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi. Aksanteni nyote!!
  3. JamiiForums Tanzania BIASHARA YA MOVIES LIBRARY

    Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali, 1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia. 2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
  4. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Life in the Movies

    "Warning, this is the chief of police speaking Do not steal police hate competition I repeat do not steal police hate competition. Where we gonna run, where we gonna hide? You've got the right to remain silent But forever they were brought here to protect us They were brought here not to hurt...
  5. JamiiForums Tanzania NAUZA ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACCOUNT YENYE CHANNEL ZOTE ZA DSTV MOVIES NA SERIES

    ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+ PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika: Jina la website ya movies na series inayotumia Mb chache.

    Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
  7. JamiiForums Tanzania My Top 5 list ya Movies za Mashindano ya Magari!

    1. Ford v Ferrari (2019) 2. The Fast and the Furious (2001) 3. Rush (2013) 4. Days of Thunder (1990) 5. Cars (animation) (2006)
  8. JamiiForums Tanzania Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
  9. JamiiForums Tanzania Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

    Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

    Movie hizi mbili 'Wrong Turn' na 'Saw' zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
  11. JamiiForums Tanzania Wakali wa movies

    Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona ili wengi wazitafute
  12. JamiiForums Tanzania Movies gani nzuri kutazamwa na wajasiriamali?

    Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k. Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza...
  13. JamiiForums Tanzania The Power of Movies: From Entertainment to Emotional Exploration.

    Movies aren't just fun; they can be powerful tools for understanding and managing our emotions. We all know how a sad film can bring on tears or a comedy can lift our spirits. But what if movies could be used to delve deeper, to explore and process difficult emotions in a safe space? A photo...
  14. JamiiForums Tanzania Wakali wa movies anayeijua hii movie atuambie

    Kama unaijua hii movie jina lake please itaje..
  15. JamiiForums Tanzania Movies nne kali za kucheki wiki hii

    1. TELL NO ONE. Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao. Kwa kipindi chote hiko mpaka sasa, dokta amekuwa akiumia na hajapata kutulia kamwe. Bado anaomboleza msiba wa mpenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba sites zuri za kupakua torrents za movies za kawaida na series.

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza. Naomba kiwasilisha
  17. JamiiForums Tanzania Movies nne kali za kuhakikisha unazitazama June 2024

    1. VACANCY. Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni. Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko...
  18. JamiiForums Tanzania Thriller Movies kwa Weekend: "What you wish For (2023)"

    Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana. Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...
  19. JamiiForums Tanzania Adam Sandler vs Ben Stiller: Nani ni mfalme wa Comedy Movies

    BEN STILLER Miongoni ya Movies zake: 1: Night at the museum 2: Along came Polly 3: Meet the Fockers 4: Tropic Thunder 5: Zoolander ADAM SANDLER Miongoni ya movies zake: 1: Anger Management 2: Grown ups 3: Zohan 4: Just go with it 5: Blended
  20. JamiiForums Tanzania Horror Movies 100+ za kuanza nazo

    Kama una bando la kutosha, anza mdogo mdogo. Futa ambazo tayari. Halloween Halloween 2 Halloween 3 Halloween 4 Halloween 5 Halloween: The Curse of Michael Myers Halloween H20 Halloween: Resurrection Halloween (2007) Halloween 2 (2009) Halloween (2018) Halloween Kills Halloween Ends Friday the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…