moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  2. JamiiForums Tanzania Gen-Z jijini mwanza wachoma moto vituo vya polisi

    Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane. Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kituo cha Polisi cha Olorieni chateketezwa kwa moto na waandamanaji

    Kituo cha Polisi cha Olorieni kimeteketezwa kwa moto na waandanaji usiku huu
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: Ofisi ya CCM na Ofisi za Kata ZACHOMWA MOTO JIONI HII

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa eneo la Sanawari juu na Ngusero Vijana waliokuwa wakiandamana kuelekea Clock Tower na kuvamiwa na Polisi wamepambana na Polisi na baadae wakaenda kuchoma Ofisi mbili za kata pamoja na Ofisi ya CCM kata ya Moivo Tuombe Amani Ndugu zangu.
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Mwendokasi cha Magomeni chachomwa moto

    Maandamano yanazidi kupamba moto, unaambiwa ile ya asubuhi ilikuwa cha mtoto, watu wananchi wameongezeka maradufu wakati huu wakizidi kusonga mbele. Kituo cha mwendokasi Magomeni nacho kimeliwa kichwa, kimetiwa kiberiti na raia wanasonga. Madai ni yale yale, tunataka haki irejee nchini, sio...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Polisi Tabata Relini chachomwa moto

    Wananchi wamepita na kituo cha polisi Tabata Relini, mabomu yanarindima huko hadi maeneo ya Buguruni. Harakati za kufika Ikulu zinaendelea. Leo polisi wamejua Watanzania sio waoga! Upole haimaanishi mtu hawezi kukurarua. Mtu anakuwa anakulia timing tu, akichoka utajua ujui. Polisi...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Duka la msanii Billnas lachomwa moto na Waandamanaji

    Baada ya kutoka kwa Shishi Food, sasa timu imetua kwa Billnass! Wananchi wameenda kumsalimia na duka lake kubakishiwa majivu. Safari ya kwenda kusamia chawa inaendelea mpaka wote warudishe akili zao. Baada ya hapa heshima itarudi, hakutakuwa na uchawa wa kuduanzi kutetea mambo ya kipuuzi. On...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kituo cha Polisi cha Mabatini Sinza chachomwa moto, risasi zarindima

    KInachoendelea huko Mabatini Sinza, kituo cha polisi kimetiwa moto, polisi nao wapigana kujaribu kuwadhibiti wananchi lakini wanazidiwa nguvu. Kwa upande mqingine wanajeshi wameanza kuungana na wananchi. Mambo yakiendelea vizuri siku itaisha nchi ikiwa mikononi mwetu.
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kituo kinachofuata ni TCRA - mtandao ni haki yetu, hawapaswi kutuzimia na kutuacha gizani

    Wakuu, Kinachofanyika sasa hivi ni kuhakikisha mawasiliano yanakata, wanafanya kila njia ili tusipate taarifa, tuwe disorganized kukataa udhalimu wa serikali hii. Tunatakiwa kufika TCRA ili tuendelee kupata mtandao, waambiwe kabisa tunachotaka ni mtandao na si kitu kingine, hawawezi...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo cha kura chavamiwa na kuchomwa moto, Hakuna uchaguzi 2025

  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  15. JamiiForums Tanzania Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

    Mlitaka wenyewe. Na bado. Mliwasha moto msojua kuuzima sio. Siye wakati twauzima nye mlituzuia. Sasa tulieni tukoleze afu mwaja kutuambia nini mwataka. Na bado. Zamu yao wapelekewe moto walowasha wenyewe. Peleka moto Shubash
  16. JamiiForums Tanzania Profesa Tibaijuka na Masiringi ogeni maji ya moto mlale, mnajisumbua kuzunguka nae huyo sio wenu ni wa akina Bashiru Ally wa CUF

    Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic kuwatukana alivyozoea hii ni WITO kwao waache kujipendekezaogeni maji mlale CCM ya sasa ni ya Bashiru wa...
  17. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas walijaribu kwenda maeneo yasiyoruhusiwa walikipata cha moto!!

    Vifaru vya IDF vinawafyatulia risasi Wanajihadi wa Nazi huko Gaza ambao wanajaribu kutembea kuelekea kaskazini mwa Gaza. Hawaruhusiwi kwenda kaskazini zaidi kutoka hapo walipo.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Nikiingia bungeni moto utawaka, nitapiga spana watu mpaka kitaeleweka

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema endapo atashinda uchaguzi na kuingia bungeni, ataweka nguvu kubwa katika kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza Ilani ya CCM ya mwaka 2025–2030. Makonda amesema anatarajia kutumia nafasi hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Car4Sale MITSUBISHI RVR ya moto sana iko sokoni

    Bei/Price TSH 21.8M Call +255 747 999 927 MITSUBISHI RVR Year: 2010 Engine: 1,780Cc Mileage: 64,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale 2013 Land Rover Discovery For Sale ya moto sana

    Bei/Price TSH 95M Call +255 747 999 927 LAND ROVER DISCOVERY 04 Year: 2013 Engine: 2,990Cc Mileage: 56,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Sport Rims Twin Sunroof Push To Start 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…