moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
  2. JamiiForums Tanzania Nigeria: Moto wazuka baharini Ajah, Lagos

  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE FREEMAN...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

    Inakuwaje wanajamvi! Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe. Mungu mwenyewe...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maneno haya? "Chai ya moto, chai ya tangawizi na chai kavu"

    Wakuu, poleni na majukumu. Naomba kuuliza nini maana ya maneno haya kama yanavyotumika hapa JF: 1. Chai ya moto 2. Chai ya tangawizi 3. Chai kavu Nimeyaona yakitumiwa na wachangiaji wa nyuzi mbalimbali ila mimi sielewi wanamaanisha nini wanapoyatumia. Naomba kujuzwa ili twende pamoja
  6. JamiiForums Tanzania Kwenu madereva na wamiliki wa vyombo vya moto njooni tusemezane hapa

    Natumai wote my wazima. Poleni na majukumu ya kusaka ngohora. Moja kwa moja niende kwenye hoja. Kwa muda mrefu madereva tulip wengi pia wamiliki wa vyombo vya usafiri magari pikipiki Bajaj. Tumekuwa na lawama Sana kwa vyombo vya Dola haswa Traffik na polisi. Kwa unyanyasaji wao kwa sisi madereva...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Machame Safari, Clemence Mbowe akiona cha moto

    Mfanyabiashara Maarufu Clemence Mbowe anayemiliki mabasi ya Machame Safari amepata pigo baada ya mahakama kuamuru alipe shilingi Milioni 20 kama fidia kutokana na kuvamia eneo lisilo lake na kuanza ujenzi wa kituo cha mafuta kwa wamiliki halali wa eneo hilo David Kimambo na Donald Kimambo huku...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii Tetesi niliyoisikia kutoka Magerezani ni kweli, leo Moto utawaka Uwanja wa Nelson Mandela huko Sumbawanga

    Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na Mshahara Kuongezeka. Israeli na Roho ya Mtu leo huko Rukwa.
  9. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NSSF, Masha Mshomba hizo ajira 271 ni kaa la moto kwako, chukua tahadhari

    Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege, Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
  10. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aponea chupuchupu kuungua moto; gari la mamilioni lateketea

    Baadhi ya wateja wangu hupenda kuniita Mkurugenzi ingawa sina sifa za kuitwa hivyo. Nafurahia zaidi kuitwa Mkulima. Haya, fuatilia sasa kwa makini ujue mazito niliyokutana nayo safarini. Hii ni habari ya kweli kabisa, ila kama wewe ni mwepesi wa kulia na kutoa machozi, usiendelee kusoma habari...
  11. JamiiForums Tanzania William Tyndale alichomwa moto mpaka kufariki kwa kutafasiri Biblia kutoka kwenye lugha ya Kigiriki kuiingiza kwenye kingereza

    William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 - aliuawa Vilvoorde (Brabant - Ubelgiji ya leo) tarehe 6.9.1536. Tafsiri yake ya Biblia ilikuwa toleo...
  12. JamiiForums Tanzania Baba awachoma Watoto wake makalio kwa panga lenye moto

    Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume. Inadaiwa kuwa baba huyo aliweka panga kwenye moto kisha akawaunguza watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili katika Shule ya...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mtanzania atuhumiwa kuchoma moto Chuo Kikuu cha Cape town

    Habari za Mchana Wakubwa,Kuna news inatembea inamuhusisha Mtanzania na Uchomaji moto wa University of Cape town. ===== Frederick Mhangazo has appeared in CPT’s Regional Court on Tuesday, accused of starting the Cape Town fires that destroyed almost 600 hectares of land and several local...
  14. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuwaka moto

    Habarini wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua. naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la...
  15. JamiiForums Tanzania Vivo ni moto

    Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone. Asante na wasilisha. Cc chief Mkwawa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji. Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeamini Rais Samia ni moto wa kumbi

    Moto wa kumbi ni moto mkali sana unaweza kuyeyusha chuma au kutoboa sufuria likiwa na maji yake ndani lakini hauna miale, moshi wingi wala kelele kama mioto ya mabiwi, nyika, kuni au petroli. Unapoota moto wa kumbi inakubidi ukae mbali kidogo vinginevyo utapata mbalanga. Kwa muda mrefu wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania DIT wamenikatisha tamaa

    Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina mpangilio yaan mbovuu hata ninayoweza kudesign mwenyewe nzuri Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

    Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…