moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mabibo jeshini nini kinaendelea, biashara zimepamba moto

    Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi? Mwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka matatu katika eneo la Stendi ya Mboya, huku wakidai tukio hilo ni njama. Wafanyabiashara hao wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania RC Makalla asema amechoka kusikia ajali za moto katika Mkoa wa Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amesisitiza umuhimu wa kutengeneza miundombinu ya njia kwenye masoko inayoweza kusaidia kukabiliana na majanga ya moto huku akisema amechoka kusikia ajali za moto katika mkoa huo. Kauli hiyo ameitoa jana Februari 13, 2022, wakati anatoa pole kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii barabara ya Kenya yasababisha Twitter kuwake moto baina ya raia wa Zibambwe - MATAGA vs upinzani

    Jameni hata mimi sikua nimeona hii picha kihivi kwenye hii angle, mamayeee hii nchi inazidi kunoga. Mwandishi wa habari wa Zibambwe ameipost kwenye ukurasa wake wa Twitter, humo raia wamepelekeshana balaa baina ya MATAGA wa huko au makada na wapinzani
  8. JamiiForums Tanzania Masoko kuungua Moto hiyo ni Mipango tu

    Mambo ya kuungua kwa masoko mara kwa mara Maeneo tofauti tofauti nchini Hiyo yote naona ni Technique ya kutaka kuboreshewa masoko hayo na sio vinginevyo Hili watengenezewe soko la kisasa zaidi
  9. JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  10. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Cameroon: Ajali ya moto klabuni yaua takriban watu 16

    Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki Kwa Mujibu wa Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ripoti ya Awali inaonesha ajali imesababishwa na milipuko ya fataki ambazo mara...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Biden asema ana hakika Urusi itaivamia Ukraine. Mambo ni moto!

    Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine" Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladimir Putin "ataivamia" Ukraine, lakini hataki "vita kamili". Alipoulizwa kuhusu tishio la uvamizi wa Urusi, katika mkutano na waandishi habari alisema...
  14. JamiiForums Tanzania Ileje: Binti Mjamzito auawa kwa kuchomwa Kisu na Mwili wake kuchomwa Moto

    MWANAMKE mmoja mkazi wa kijiji cha Ilanga kata ya Mlale wilayani Ileje mkoani Songwe, Subira Kibona(16) amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kisha mwili wake kuchomwa moto na anayesadikika kuwa mume wake, Shukrani Kamwela (16) kabla ya kutupa mabaki ya mwili huo...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu "Shuhuda" wa matukio ya moto ahojiwe na chombo huru, ana mengi moyoni mwake

    Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja. Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Dada zetu fungukeni mtuambie ukweli. Je, size kubwa ya uume ndio mnaridhika kimapenzi?

    Inachanganya sana maana wanawake wengine wanasema size sio ishu maana raha ipo juu na cha msingi mtu ajue kutumia dudu. Wengine wanasema size kubwa ndio kila kitu. Huku wakiponda wnanaume wenye size ndogo. Sasa upi ni ukweli? Maana kila kukicha wanawake wanachepuka hovyo na huku ugoni...
  17. JamiiForums Tanzania Zimamoto: Taarifa za Soko la Karume kuwaka moto hatukuzipata mapema

    Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Ilala Elisa Mugisha, amesema kwamba taarifa za kuungua kwa soko la Karume walichelewa kuzipata kwani wangezipata mapema wangeweza kuokoa athari iliyojitokeza. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 18, 2022, wakati akizungumza kwenye kipindi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara tujifunze kupitia haya majanga ya moto

    Habarini wana JF, Kwanza kabisa nitoe pole kwa wafanyabiashara wote wa Soko la Karume, pamoja na Kariakoo (hawa sijawahi kuwapa kutokana na janga la moto walilopata). Kuna suala moja ningependa tujifunze kupitia majanga kama haya ambapo yakitokea yanasababisha hasara kubwa kutokana na upotevu...
  19. JamiiForums Tanzania Tafadhali namwombea Ulinzi Yule Mama aliyesema Mchoma Moto Soko la Karume ni 'Joseph na Wenzake' kwani huenda hata Mengineyo aliunguza Yeye

    Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Karume wameunguliwa soko, ila Waziri wa Biashara hajaonekana mpaka sasa

    Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa. Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEMI. Hivi TAMISEMI wao kila sehemu wapo?. Si watakuwa wanaishia kutoa matamko tu kazi hazifanyiki?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…