moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bifu kati ya wafanyakazi (walimu) na graduates (Jobles) inazidi kupamba moto

    Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa ongezeko la mshahara wa 23.3% isiyoeleweka limefanya walimu wadhihakiwe kila sehemu, sasaivi kila kitu wanaangushiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 30 wateketea kwa moto Nigeria

    Mamlaka nchini Nigeria zinasema kwamba takribani watu 30 wameteketea kwa moto na kupoteza maisha huku makumi wengine wakijeruhiwa vibaya katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea Kaskazini kwa mji wa Kaduna. Ajali hiyo imehusisha mabasi matatu ya abiria ambayo yalishika moto baada ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu udongo wa mbuga nyeusi Kondoa (Kambi ya Moto)

    Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu: Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kivu, DRC: Wagonjwa wachomwa moto hadi kufa wakiwa Zahanati

    Umoja wa Mataifa umesema watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yanayoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC) wakiwemo wagonjwa 4 walioteketezwa wakiwa hai katika zahanati ya kanisa katika jimbo la Kivu Kaskazini Hadi hivi sasa Wapiganaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Habari, Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa. Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Bweni la Shule ya Sekondari ya Bwiru lateketea kwa moto, Wanafunzi zaidi ya 70 wanusurika kifo

    Zaidi ya wanafunzi 70 wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Bwiru iliyopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wanalala kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Juni 30, 2022 na kuunguza vitanda, magodoro, nguo pamoja na vifaa vyao vya shule Moto...
  10. JamiiForums Tanzania Wahamiaji 14 waliokuwa wakizamia kwenda Ulaya wafariki baada ya boti kushika moto Senegal

    Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania. Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
  11. JamiiForums Tanzania Jengo la ofisi za TAMISEMI jijini Dodoma laungua kwa moto

    Jengo la Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Dodoma linateketea kwa moto muda huu ambapo Jeshi la Zimamoto na Ukoaji linaendelea na juhudi za kuuzima. #MwananchiUpdates ======== Waziri wa Tamisemi, Innocent Bashungwa, akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa...
  12. JamiiForums Tanzania Mwalimu afa kwa moto, funguo za nyumba zakutwa nje

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Morogoro Daudi Senyagwa, amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kutekea kwa moto akiwa amelala ndani usiku wa kuamkia leo Juni 15, 2022 katika mtaa wa Seminari, Kata ya Kingolwila Manispaa ya Morogoro. Wakizungumza na EATV mashuda wa tukio hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Mdude Chadema, Ahaidi kumpelekea moto alietoa ahadi ya kushusha bei ya mafuta

    Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU
  14. JamiiForums Tanzania Rayvanny ajenga nyumba kisha aichoma moto

    CEO wa Next level music ambaye pia ni msanii wa lebo namba moja Africa ya Wasafi, Rayvanny aka Chui amejenga nyumba kisha kuiteketekeza kwa moto ili kupata uhalisia wa video yake mpya ya wimbo wa I miss you. Ukitazama video hiyo utaona kuna scene ya nyumba inaungua basi ile nyumba ilijengwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto, Chanzo Hitilafu ya umeme

    Muda huu soko lililopo mbele ya Daraja la TAZARA au Mfugale upande wa kushoto kama unatokea Buguruni linateketea kwa moto. Jina la soko silikumbuki vizuri, sijui linaitwa Vetinari. Chanzo cha habari ni mimi mwenyewe. Nimepita muda huu nimekuta soko linateketea. Zima moto na gari lao wapo ila...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya 12, Tanga: Inadaiwa Polisi na Zimamoto wamempiga mtu mmoja aliyesaidia kuzima moto

    Inasemekana nyumba ya jirani ilikuwa inaungua, na huyu jamaa nyumbani kwao kuna kisima cha maji so akajitolea pamoja na wasamaria wengine kuchota maji na kuzima moto huo, huku wakipiga simu taasisi ya zima moto kwa ajili ya msaada zaidi. Bahati mbaya fire brigade wakachelewa kufika hadi moto...
  17. JamiiForums Tanzania Moto wazuka NMB Morogoro

    Moto usiothibitishwa chanzo chake umewaka ndani ya benki ya Nmb Morogoro. Moto huo wa ajabu inasemekana ulikuwa unasaka makasha yenye pesa ili uyaunguze na km unavyoona kwenye hiyo video fupi tayari unamhangaisha askari moto kuuzima kibabe ilhali wenyewe ungali na hamu na kuunguza hela 😄...
  18. JamiiForums Tanzania Watu 27 wafariki kwa ajali ya moto India

    Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo Zaidi ya mashine 20 zilitumika kupambana kuuzima moto huo, ambapo watu wawili wanashikiliwa na mamlaka...
  19. JamiiForums Tanzania Kagera: Gari la Hakimu lachomwa moto na wasiojulikana, Hakimu mwenyewe afunguka

    Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila amelitaka Jeshi la Polisi wilayani humo kufanya uchunguzi na kuwakamata watu ambao hadi sasa hawajafahamika, waliochoma moto gari aina ya Harrier lenye namba za usajili TI70 DEA. Gari hilo, mali ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Nyamiranda...
  20. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…