moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Moto wateketeza ghala lenye mizigo ya magendo na waliokwepa ushuru Tanga

    Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba, ghala lilikuwa na mizigo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) ikiwemo Vitenge vilivyokamatwa kwa Magendo baro 370 pamoja na Sukari, Mafuta ya Kula, Baiskeli na Pikipiki Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa, Fatuma Ngenya amesema wamefanikiwa kuudhibiti Moto ulianza...
  2. JamiiForums Tanzania Moto unawaka usiku huu msitu wa Mlima Kilimanjaro

    Kwa wale wakazi wa Mji wa Moshi na maeneo ya Jirani kuanzia saa 2:30 usiku huu ukiangalia Upande wa kaskazini ulipo mlima Kilimanjaro unaonekana Moto mkubwa. Unaoambatana na Moshi mwingi. Kama hali itaendelea bivi basi itabidi Mamlaka husika zijiandae kwa ajili ya kuzima moto huo mapema kabla...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Vibanda 15 vyateketea kwa moto Mafinga

    Mufindi. Moto umezuka saa saba usiku wa kuamkia leo Ijumaa Oktoba 21, 2022 pembezoni mwa Soko la Mafinga Mjini Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa na kuteketeza vibanda 15 na mali za wafanyabiashara. Akizungumza na Mwananchi mmiliki na shuhuda, Mohamed Migila amesema kuwa moto huo ulianza kuwaka...
  4. JamiiForums Tanzania Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    Admins nimeweka hii ahadi kuwa ikitokea bahati mbaya. Maana si rahisi. Simba akamfunga yanga natuma picha humu nimekalia moto nikiwa uchi. Na naomba members wawili au watatu wawepo kama mashaidi. Nikishindwa nipigwe ban mwezi mzima. Simba ni team mbovu kwa Yanga. Simba haiwezi mfunga Yanga...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma. Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari. Picha na video zinatisha sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume wapelekeeni moto sawa sawa wake zenu ili wasitoke nje ovyo!

    Unakuta kila siku mtindo ule ule tu ya Adamu, mende au ya mbuzi kagoma. Unakuta mwanamke anazoea sasa akikutana na vitu huko nje na wenzake na umbeya wa kwenye vikoba na vigodoro basi anaamua kwenda kujaribu. Na wanaume mnatoka kazini na msongo wa mawazo na uchovu mmechoka unalala hoi, au...
  7. JamiiForums Tanzania Couple yenu inamiliki chombo kipi Cha moto?

    Namba 1. Pikipiki Namba 2. Gari Mpo namba ipi?
  8. JamiiForums Tanzania Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

    Hii no fap challenge inahusu kujizuia kuzitoa shahawa kwa kufanya vitendo kwa mwili ama kutumia akili kuwaza, vitendo vinaweza kuwa kama sex au kujichua na akili ni pale unajenga mawazo ya kingono mwishowe unapizi, Shahawa ndipo nguvu za mwanaume zilipo kiroho, kiakili na kimwili, ukiona huwezi...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  10. JamiiForums Tanzania MIFUMO YA KUZUIA WIZI WA VYOMBO VYA MOTO.

    .
  11. S

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Urusi yaishambulia Ukraine kwa mizinga usiku kucha!

    Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove. Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee🤣🤣😂😂😅😅😅 ======
  12. JamiiForums Tanzania Watoto wanne wa familia moja wafariki kwa ajali ya moto

    Watoto wanne wa familia moja, wamefariki dunia baada ya nyumba walimokuwa wamelala kuteketea kwa moto. Tukio hilo limetokea majira ya saa 6:30 usiku wa kuamkia leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika makazi ya watu yaliyopo ndani ya eneo la mgodi wa Mwadui, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Anaelawiti watoto adhabu iwe kuhasiwa, viboko 180 na abandikwe mhuri wa moto kwenye paji la uso

    Adhabu ni kuchagua! Tunajaza wafungwa wa bure magerezani! Nashauri adhabu kwa yeyote anaelawiti watoto wadogo! Awe mwalimu, shekhe, mchungaji, padri,dereva, mjomba, kaka, baba, bodaboda au jirani. IKITHIBITIKA Kalawiti au kubaka ADHABU IWE NI KUHASIWA, na viboko 6 kila siku mfululizo ndani ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Gari linawaka moto muda huu Tegeta Kibaoni

    Gari ndogo binafsi inatekea kwa moto barabarani Bagamoyo road karibu na kituo cha basi cha Azania.
  15. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania limekosa viongozi kama hayati Julius Nyerere na hayati John P Magufuli. Wananchi wanyonge watakandamizwa mpaka wakione cha moto

    Hivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia rasimali kama madini, uvuvi na kilimo kupata mapatoa ya kuendesha nchi. Hayati Mwalimu na hayati Julius...
  16. JamiiForums Tanzania Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Moto wafukuta ndani ya kikao cha kamati kuu ya CHADEMA

    Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 uongozi wa Chadema ulitangaza kususia kupokea ruzuku kutoka Serikalini ikiwemo ruzuku ambayo walistahili kupata kupitia Wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho kwa madai kuwa uchaguzi huo haukuwa huru na wa haki pamoja na kudai kuwa mchakato wa upatikanaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Jengo la china telecom linaungua kwa moto. Mamia wahofiwa kufa.

    Jengo hilo hapo, ni katika mji wa Changsha.
  19. JamiiForums Tanzania Panya Road achomwa moto Manzese

    Habari za Jioni, Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha...
  20. JamiiForums Tanzania Daladala lateketea kwa moto Kimara, Dar

    Za asubuhi ndugu zangu, inasemekana kuna daladala linawaka moto sasa hivi mitaa ya Kimara baruti, jijini Dar es Salaam. Chanzo cha moto hakijajulikana, ila taarifa kamili itapopatikana tutajulishana kwa kadri iwezekanavyo. ===== Daladala inayofanya kazi njia ya Temeke Mbezi imeteketea kwa moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…